Elections 2010 Wana JF waliogombea nafasi mbalimbali za Uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu 2010

Andrew Kellei

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
348
123
Wakuu sio mbaya tukawataja wana JF waliogombea nafasi mbalimbali na matokeo yao ili tujue ni namna gani hili jukwaa letu limeshiriki katika kutoa wawakilishi.
Naanza:
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA-Kura hazikutosha.
2.Regia Mtema-aligombea Ubunge Kilombero CHADEMA-Kura hazikutosha.
3.Kigangwala-aligombea Ubunge Nzega CCM-Kura zilitosha.
4.Zitto Kabwe-Kigoma-CHADEMA-Kura zilitosha
5.Mnyika -Ubungo-CHADEMA-Kura zilitosha.
6.
7.
.
.
 
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA-Kura hazikutosha.
Tafadahli sana huyu kura zake zilitosha sana kwani milion 5 na milion 39 zipi nyingi?
acha upotoshaji wako,Dr.SALAA ni raisi wa wengi hivyo ndio Risi wa JMT.
Wakuu sio mbaya tukaw:A S angry:ataja wana JF waliogombea nafasi mbalimbali na matokeo yao ili tujue ni namna gani hili jukwaa letu limeshiriki katika kutoa wawakilishi.
Naanza:
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA-Kura hazikutosha.
2.Regia Mtema-aligombea Ubunge Kilombero CHADEMA-Kura hazikutosha.
3.Kigangwala-aligombea Ubunge Nzega CCM-Kura zilitosha.
4.Zitto Kabwe-Kigoma-CHADEMA-Kura zilitosha
5.Mnyika -Ubungo-CHADEMA-Kura zilitosha.
6.
7.
.
.
 
Wengine ni hawa:

1. Rostam Aziz - CCM
2. Jakaya M. Kikwete - CCM
3. Andrew Chenge - CCM
4. Arasto Zambi - CCM
5. James Mbatia - NCCR-MANUNUZI
6.
7.
 
Hapo wakuu mmeniacha hoi,huyo malaria sugu aligombea ili ampinge mke wawaziri mkuu na makamu mwenyekiti mstaafu wa ccm je atamuweza kweli?ni hiyo nccr manunuzi iko wapi? Kwa taarifa yenu kikwete sio docta wa hospitali ni docta wa ngono chafu,mtoto wa kike akipata mimba anaambiwa ni kiherehere chake,kikwete nikanali na atabakia kuwa kanali hawezi udocta huyu dogo.
 
Wakuu sio mbaya tukawataja wana JF waliogombea nafasi mbalimbali na matokeo yao ili tujue ni namna gani hili jukwaa letu limeshiriki katika kutoa wawakilishi.
Naanza:
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA-Kura hazikutosha.
2.Regia Mtema-aligombea Ubunge Kilombero CHADEMA-Kura hazikutosha.
3.Kigangwala-aligombea Ubunge Nzega CCM-Kura zilitosha.

4.Zitto Kabwe-Kigoma-CHADEMA-Kura zilitosha
5.Mnyika -Ubungo-CHADEMA-Kura zilitosha.
6.
7.
.
.

Namba 1 & 2 siyo kuwa kura hazikutosha - zilichakachuliwa
 
Kikwete ni kanali wa jeshi kihalali au kanali kutokana na ukada wa chichiemu? Muda aliokwenda hiyo training na kozi aliyofanya, hebu wataalamu wa jeshi watuambie, anapaswa kuitwa kanali wa jeshi kweli? Makamba naye nasikia anaitwa luteni, mbona wanatania kazi za watu?
 
Jamani tuwajue ili iweje?
Wakipenda watakuja wenyewe kujitambulisha. Ninajua wako wengi hapa hasa wa ccm lakini wanaingia kwa pen names hapa maana ni waoga kama nini.
 
Back
Top Bottom