Wana jf wa UK ( ukerewe) nko njiani naja mnipokee.

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
230
Wana jf wa ukerewe niko njiani please mniandalie viazi na samaki furu.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1353572134761.jpg
    uploadfromtaptalk1353572134761.jpg
    34.8 KB · Views: 49
aaagh...nilidhani unakuja Uru Kishumundu....ningekupokeaje kwa ndisi na maparashishi.....ila kuwa makini huko....hukawii kuchomolewa na mamba kwenye ndoo ya maji ya kuogea.....usijesema sijakuonya.....
 
Dah nimeambiwa nisinywe maji huko eti kuna jamaa alipewa maji kwa bilauli ile anakunywa kufika nusu mamba ikatoka kwa bilauli na kummeza jamaa kisha mamba ikarudi kwa bilauli. So sitokunywa maji @ preta
 
aaagh...nilidhani unakuja Uru Kishumundu....ningekupokeaje kwa ndisi na maparashishi.....ila kuwa makini huko....hukawii kuchomolewa na mamba kwenye ndoo ya maji ya kuogea.....usijesema sijakuonya.....

Jesus! Preta!
 
Last edited by a moderator:
aaagh...nilidhani unakuja Uru Kishumundu....ningekupokeaje kwa ndisi na maparashishi.....ila kuwa makini huko....hukawii kuchomolewa na mamba kwenye ndoo ya maji ya kuogea.....usijesema sijakuonya.....
Kweli?.
 
mwee eti U.K teh teh teh wasalimie huko mi nilikua muleba sio mchezo kuna guest ya mabati full dstv nafanya mpango wa kuzitengenezea uzi sijawah ona hiyo kitu arifu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom