Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha bana....huko wameweka rami...?...sijawahi kuona rami ujue...Uk pazuri sana.... tembea uone rami nyekundu.
wacha bana....huko wameweka rami...?...sijawahi kuona rami ujue...
Wee nawee? Mbona mpaka marami ya kibruu yameshaenea?
Una maana ndiyo kwanza reo unaskia ?
Wana jf wa ukerewe niko njiani please mniandalie viazi na samaki furu.
mtafute JT au CL...
Kweli?.aaagh...nilidhani unakuja Uru Kishumundu....ningekupokeaje kwa ndisi na maparashishi.....ila kuwa makini huko....hukawii kuchomolewa na mamba kwenye ndoo ya maji ya kuogea.....usijesema sijakuonya.....
hakyamaa.....hiri reo kwangu ripya kabisa......
daddy sie tupo mwanza na co UK....