KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,575
- 8,595
Wakuu wa hapa Dar es salaam kama mnakumbuka kule Arusha kulianzishwa mada ya safari ya kwenda tanga na kwa saada soma hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ha-wing-safari-ya-kufunga-mwaka-hii-hapa.html
Tunaomba kwawale walio na nia yakwenda tuweze kuji organize tuone hii safari yetu tunaipanga vipi tunaweza kukodisha Marcopolo moja tukaungana na wenzetu hivyo wale wenye nia toa details tuone niwapi tunaweza kukutana na kupanga!
Naomba michango yenu Mtambuzi Smile nivea calorine danzi Nicas Mtei King'asti na wengine endelea kuleta mawazo yenu tunawasubiri kwa hamu kwani muda ndo unazidi kuyoyoma.