wana JF wa Bukoba mpo?

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Habari zenu kina NShomile? Leo nipo kwenu naomba kujua maeneo yenu vizuri, chakula kizuri nitakipata wapi? na sehemu gani yenye full soft drinks but iko cool na safi na nifahamu pia kama mna siku zenu za kukutana.... ila nimeipenda hali ya hewa ya hapa kiasi fulani!!
 
kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?
 
Hahaha! Pole sana, sipati picha ulivyobaki unakodoa macho lol...
 
Hujui then unajua ipi??? na unawatafuta wa Bukoba iweje km we si wa Huko??
 
ilibidi niwe na maji ya Kunywa (from Kabanga) ili mdomo usije ukajisahau! na wakati mwingine ilibidi nijitafunishe pk..... nakumbuka kuna sehemu nilmuuliza kondakta hapa wapi? akaniambia ni Nyawaigaba nadhani ..... hapo niliongea

ila frankly haivutii!! yaani gari zima!!??
 
Hujui then unajua ipi??? na unawatafuta wa Bukoba iweje km we si wa Huko??
Mkuu, wengine kazi zetu inabidi tu uzunguke Tanzania hii kwa sehemu kubwa.. so now nipo huku Bukoba, na usishangae inawezekana nishawahi fika kijijini kwenu ila hujui tu.
 
kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?

Huku kila kitu unapata, ukitaka katerero haya, ukitaka senene haya, lubisi, akalikwera ange embandule, wewe uko sehemu gani
 
Mkuu, wengine kazi zetu inabidi tu uzunguke Tanzania hii kwa sehemu kubwa.. so now nipo huku Bukoba, na usishangae inawezekana nishawahi fika kijijini kwenu ila hujui tu.
Dah huko nimezunguka sana kaka...mwaka jana nimekuja mara 6...sijafika Ngara tu
 
Back
Top Bottom