wana jf twende kanisani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,016
za asbh wana jf mmeamkaje najua si woe awapendi kwenda kkanisan wengine wanafanya kazi na wengine wamejawa na mawazo bila kujua leo ni siku ya jumapili kumwabudu Bwana Mungu si mbayaa kukumbusha hapo ulipofika sio kwamba umetenda sana mema kwa MUNGU ndio maana uko unahema la hasha ni neema ya MUNGU imekufikisha hapo ulipo sio mbaya kuchukua nafasi hii kumshukuru MUNGU kwa nini wewe uko nyumbani wengine wako ICU wengine wamechukuliwa na misukule wanalima huko huku tukijua tumezika watu ..
Chukua siku ya leo kumshsukuru Mungu wako na kumwomba akusaidiie wiki inayofwata jiulize kazini kwako ile ridandas ulimhonga nini MUNGU wewe ukabaki mpaka leo na mengine mengi ya kujiuliza

Wish you
Sunday njema
 
Amani iwe kwako mtumishi wa Mungu. Nashukuru kwa uamsho na ukumbusho. "Na neno litaendelea" haya maneno alikuwa anasema matangazaji 1 wa kipindi cha radio cha Kenya. By ze wei tuwasiliane mtumishi
 
Mi mwenyewe nashangaa currently online 2897, sijui wamesali saa ngapi?

Ivi watu wangekua wanafungua baibo kama wanavyoperuzi JF, ukame ungekuwepo?

Wangekua wanachambua baibo na kuandika kama wanavyoatuma msg kwenye simu zao,,ufisadi ungekua historia.
 
Mkuu! Wengine ha2jaenda ila 2namshukuru MUNGU mwenye enzi kw uweza wake wa kila ki2! Asante mtumishi.
 
Huo ndo uungwana kualikana kukumbuka siku tatifu ya kwenda kanisali, na si kualikana kunywa tu Bia pale Brake Point na maeneo mengine yenye vileo eti kwa vile leo siyo siku ya kazi.
 
za asbh wana jf mmeamkaje najua si woe awapendi kwenda kkanisan wengine wanafanya kazi na wengine wamejawa na mawazo bila kujua leo ni siku ya jumapili kumwabudu Bwana Mungu si mbayaa kukumbusha hapo ulipofika sio kwamba umetenda sana mema kwa MUNGU ndio maana uko unahema la hasha ni neema ya MUNGU imekufikisha hapo ulipo sio mbaya kuchukua nafasi hii kumshukuru MUNGU kwa nini wewe uko nyumbani wengine wako ICU wengine wamechukuliwa na misukule wanalima huko huku tukijua tumezika watu ..
Chukua siku ya leo kumshsukuru Mungu wako na kumwomba akusaidiie wiki inayofwata jiulize kazini kwako ile ridandas ulimhonga nini MUNGU wewe ukabaki mpaka leo na mengine mengi ya kujiuliza

Wish you
Sunday njema
hapo kwenye mstari unaweza kuthibitisha kuwa hawa walikuwa hawaendi kanisani?
 
mkuu ujanielewa nimemaanisha wengine wako icu wengine wameshazikwa wewe umemoa nini mungu uko hai mpaka sasa na huna mpango wa kwenda kumshukuru mungu..samahan kama nimekukwaza mpendwa nami naelekea
 
hujanikwaza mtu wangu pdidy....badae na mimi mwenyewe nitaenda church...j2 njema
 
hapo kwenye mstari unaweza kuthibitisha kuwa hawa walikuwa hawaendi kanisani?
Kwani kasema hao walikua hawaendi kanisani?Anamaanisha mimi mwenye nafasi na uwezo wa kwenda niende maana kuna walio katika mazingira magumu kama hayo wanashindwa kwenda.Na TUKAWAOMBEE
 
Mi mwenyewe nashangaa currently online 2897, sijui wamesali saa ngapi?Ivi watu wangekua wanafungua baibo kama wanavyoperuzi JF, ukame ungekuwepo?Wangekua wanachambua baibo na kuandika kama wanavyoatuma msg kwenye simu zao,,ufisadi ungekua historia.
Hiyo isikupe shida mm mwenyewe niko kanisani lkn niko online, huku bible huku simu. JF ni zaidi ya cnn news zina b updated every minutes majukwaa kibao, nchi yenyewe hii ishauzwa usipokaa online waweza shituka watu washajitoa mhanga ikulu ww unang'aa tu. Umeme ukikata nazima pc nawasha cm niko online 24hrs.
 
Mi mwenyewe nashangaa currently online 2897, sijui wamesali saa ngapi?Ivi watu wangekua wanafungua baibo kama wanavyoperuzi JF, ukame ungekuwepo?Wangekua wanachambua baibo na kuandika kama wanavyoatuma msg kwenye simu zao,,ufisadi ungekua historia.
...................usishangae,current online 2897,maana yake ni kuwa kuna computers,simu,ipads ni vifaa vingine ambavyo viko online na si lazima awe mtu halisia.....................,kakajambazi mbona we hauko jela?,jibu.....ni kwasababu ni kaka wa jambazi,na si jambazi mwenyewe..........hah........haaa.........haaaaaa,
 
angalia siku ya mwisho mkuu hao wanatokaga kimazabe wanaingia mbinguni so rekebisha hema yako kama wewe kwanza mi nina ushuhuda wa wengi jamaa ninaowafahamu walikuwa wazinzi walevi kabla ya kufa walitubu na kwa imani ninaoamini wamesamehewa wakatwaliwa so ni muhimu kuangalia wewe kama wewe muda huu unaitaji kufanya kile unachoweza kufanya pengine ni wachache watapata nafasi ya kutubu kama hao wah
 
Back
Top Bottom