Wana JF Tuungane na Member SAJENTI...Ana Wakati Mgumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF Tuungane na Member SAJENTI...Ana Wakati Mgumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Jan 11, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakuu,
  Sina mengi,
  Naomba kwa upendo mmoja tujaze senti mbili tatu kwenye M-Pesa a/c zetu, na kumshika mkono huyu member aliyepata masahibu ya kufiwa na mkewe na kuachiwa familia. Namba yake ni 0765068886 kama alivyoitoa mwenyewe.
  Please people of God, Lets go a bit beyond Keyboards!...Naamini kabisa kuwa hatuigizi upendo wetu, bali ndiyo jadi yetu.

  [/h]SWEET GIRL Yesterday 10:17

  wengine tumezoea huku uswahili kwetu mtu akifikwa na mambo kama haya basi tunatembeza bakuli la ubani.sijui viongozi wa jamvi hili wanalionaje hili,kama ikibidi watengeneze utaratibu wa mambo kama haya.ni wazo tu jamani,nawakilisha

   
 2. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni wazo zuri PJ kusaidia katika shida na raha na mola atubariki sote na tutoe kwa ukarimu.
  pole sana sajenti mungu kampenda zaidi piga moyo konde utayashinda majaribu yote kwa uwezo wa muumba wa mbingu na nchi
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole zake ngoja niangalie kibubu kinasemaje..
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri sana,
  Sio tuwe pamoja kwenye keyboard tu.
  Tukifikia hapa basi tutakua tumepiga hatua kubwa sana hapa JF.
   
 5. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pole mkuu nikifika mjini nitaangalia akaunti ya m pesa walau nami nitume kidogo Mola akupe nguvu pamoja na watoto katika wakati huu mgumu
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nami nitajitahidi kumfuta machozi ndugu yetu sajenti
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Thanks Matwi!
  Sehemu ya mwili wake huyu mwenzetu imemtoka, hivyo ni wakati sahihi sana kuwa naye pamoja, at least kwa token!
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu wangu...tuko pamoja sana katika sala..Mungu akupe nguvu zaid.....
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakika sajenti tupo pamoja, cyo kwa salaam tu, nitakuseach hata huko kwenye mtandao wa VodaCom muda wowote!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  God bless you broda!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  RRight away PJ, asante kwa kufikiria hili
  kwa kweli ana wakati mgumu sana. Mungu mwenyewe aingilie kati
   
 12. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana Sajenti!

  nami natuma rambi rambi yangu sasa ivi.

  ni vema tusaidiane kwenye shida na raha, na JF idumu.
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  King'asti,
  Thanx for yr responce, Utabarikiwa kwa vipimo vya Mungu!
  Wapandao kwa machozi, watavuna kwa kelele za furaha. Zab 126:5
   
 14. Josephine

  Josephine Verified User

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole Mkuu nami nimetuma mchango wangu.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka picha za msibani maana siku hizi watu wengi wajasiliamali::(kidding)
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Mimi nakuzidi kukuombea dua ili Mola muumba akupe subra kubwa sana hususan katika kipindi hichi kigumu cha muswiba.

  Mola amlaze pahala panapostahikhi marhum mkeo.
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mimetupia mchango hapo,,,,, E29KR... Imethibitishwa Tshs 3,000 imetumwa kwa Abd..... tarehe 11/1/12.

  Mwambie adelete msg zetu tusije kuvunja kanuni za JF kwa kutoa siri za majina ya members.

  Naamini kwa buku tatu yng ukijimlisha na za memba wengine 1000 kati ya wote 59,000 wa JF jamaa atakuwa na pa kuazia kusolve problems. Pia tutamsaidia counselling akihitaji.
   
 18. ram

  ram JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,200
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Maadam PJ umeweka namba ya Mpesa tutamsaidia japo kidogo, Binafsi nitamtumia japo kidogo
   
 19. ram

  ram JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,200
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mungu akubariki kwa kujitoa kwako. Na mimi hofu yangu ni majina yetu itakuwaje, atakuwa mwaminifu kuficha majina yetu, manake kwenye Mpesa tumesajiri majina yetu halisi. Kwako PJ plz naomba ufafanuzi juu ya hili kabla sijatuma

   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli hii ni kali!
  Kuna matani lakini kwa situation ya namna hii, sidhani kama ni mahala sahihi!..Je hata akileta utamfahamu nani?
  Kutoa ni moyo, kama moyo unakuonya kwamba ni mpaka kuwe na kithibitisho, basi unausikiliza moyo!
  All in all thanx for yr alert!
   
Loading...