Wana jf tutumie nafasi hii vizuri kujijenga kuliko kuwasumbua moods

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Imekuwa ni vigumu sana kwa wana jf kutumia nafasi hii visuri kuweka topic zenye maana badala yake tumeonekana kanakwamba hatujui maana kamili ya jukwaa hili,
lengo haswa la jukwaa hili nikupashana habari kufundisha na kurekebishana badala yake tumekiuka utaratibu huo na kuanza kutukana kupakaziana nak
ninaombeni wana jf tuwe risiriasi ndani ya jukwaa hili na tulijengee heshima kuliko kuwatesa mod huku wakiangaika kuchambua na kufuta,
 
hata hii mada yako haikutakiwa ije jf..Ulipaswa ukae nayo moyoni mwako tu.,!
 
Back
Top Bottom