Wana JF tusihamaki pale tunapotofautiana kimawazo.

Anderson Shimb

Senior Member
Dec 23, 2013
169
0
Kumejitokeza baadhi na huenda ni wachache sana JF ambao mara wakiona thread ambayo kwa mtizo wao hawaipendi na mbaya zaidi hawatoi sababu kwa kujenga hoja, huanza kurusha mabango kwa kusema mra buku 7 hao, mara katumika, mra magamba, mara Lumumba, Watu hawa wanasahau kabisa kuwa kumkatalia Mwenzako asiwe upande wapili ni kuvunja Katiba ya Tanzania, Kwani Katiba hiyo hiyo ndiyo iliyoruhusu ziwepo hizo pande mbili. Jamani tuwe wavumilivu kwa kujenga hoja.Mimi Sijawalazimisha kuwa upande wa Ngumi, Matusi, Majumba Dubai, Kuvuani Nyazifa, Kutumia michango ya m4c bila utaratibu,Kukatisha safari za wabunge ili kwenda Dubai kuutupa, kunyan'ganya komputa mpakato kwa nguvu na matofari kumtupia mmiliki ili mradi Labtop hiyo ni nzuri kuliko ya Mwenye Jumba Duba, hivyo lazima amiliki yeye.
 

Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,830
1,750
mkuu umeanza vizuri sana sema hapo mwisho umechanganya vitu vingi sana kwa wakati mmoja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom