wana-JF tumsaidie mwenzetu

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
367
68
ndugu za kuna rafiki yangu mmoja (binti) amebahatika kupata mchumba kwa sasahivi binti anasoma chuo kikuu ndio anaingia mwaka wa tatu sasahivi, mchumba wa huyu rafiki yangu sasahivi anataka kwenda nyumbani kwa binti kujitambulisha, ila tatizo linaanzia hapa huyu binti baada ya kuwajulisha wazazi wake wamemwambia binti kuwa ni mapema mno sasahivi kuona binti yao anaolewa maana wao wamedai kuwa wanataka asome akiwa na master (ambayo wazazi wake wanajiandaa kumsomesha akimaliza chuo) na akimaliza ndio aanze kufikiria suala la yeye kuolewa sasa huyu binti yuko njia panda afanyaje ili kulinda uhusiano wake na mpenzi wake na pia kuwaridhisha wazazi pia, ameniomba ushauri mie nimeona nililete hapa jukwaani ili tujadiliane kwa pamoja. Naomba kuwasilisha.
 
Doh wazazi bana.....
We mwambie amueleze ukweli huyo jamaa kwamba wazazi wanataka mpaka amalize Masters ndo aolewi....kama binti anasema hawezi subiri basi wa do the nidfull wazazi wakiona mtoto wao kitumbo hicho watamuoza tu watake wasitake....:hippie::hippie::hippie:
 
Anaweza akasoma masters hata akiwa ameolewa. Inabidi awaeleweshe wazazi wake kama yeye anaona kuna ulazima wa kuolewa kabla ya kupata hiyo masters. Kama wazazi wataendelea kushikilia msimamo wao inabidi amueleze mpenzi wake juu ya uamuzi wake na kama yupo tayari kumsubiri hadi hapo atakapomaliza chuo. Kubwa ni kumkumbusha huyo rafiki yako kuwa umri nao unakwenda inabidi awe makini katika kutoa maamuzi.
 
Masters haitakiwi kuhusishwa na Ndoa! Ni vitu viwili tofauti sana ambavyo havitegemeani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom