Wana JF tumrudishe mwanaharakati mwenzetu Tanzania-Faustine munishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF tumrudishe mwanaharakati mwenzetu Tanzania-Faustine munishi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Feb 4, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni miaka mingi imepita sasa tangu mwanaharakati asiye ogopa kusema jambo bwana FAUSTINE MUNISHI,Kukimbia nchi na kwenda kuishi kenya kama raia wa nchi hiyo na hata alishawahi kuandika makala kuwa AKIFA AZIKWE KENYA

  CCM Wakiniua, Mnizike Kenya." Asema Munishi. "Siyo kwamba nimebadili uraia, wala sitarajii kufanya hivyo.Mimi bado ni Mtanzania. Sikuchagua kuzaliwa Tanzania, lakini nitachagua pa kuzikwa.Serikali za CCM zimenifanya nisiwe na mahali ninapoweza kupaita nyumbani ndani ya nchi yangu. Kosa langu ni kusema CCM sera zake zimeiharibu Tanzania, na hawafai kuwa madarakani.Makachero wa Tanzania wamekuwa wakitumia kila mbinu chafu kuwasumbua na hata kuwaua wote walio na uhusiano wa karibu na Munishi. Ajabu ni kwamba Munishi mwenyewe akienda Tanzania wanafuatilia nyendo zake bila kutishia kumuua" hii nimeipata ktk (http://www.munishi.com/)

  Ninacho kiomba wanaJF tumrudishe huyu mwanaharakati Tanzania ili aendelee kuipigania nchi yake,tutambue kuwa pamoja tutajenga

  kwani kukimbia tatizo sio ndio njia ya kulitatuwa,

  msema ukweliiii hapwendwiiii daimaaaaa:bump::A S-alert1:
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I admire the guy arudishwe, anazungumza sense kweli...lakini udini amepindukia..
   
Loading...