kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
mara aanza kutangulia mwanamke.Na yeye ameandik au una uhakika wewe ndo unatangulia?
mara aanza kutangulia mwanamke.Na yeye ameandik au una uhakika wewe ndo unatangulia?
DUUUHWosia uwe na Mali sasa MTU una smartphone tu wosia wa nn?
Kwakwel huo ndio wosia pekee ambao mpaka sasa ninawapa wanangu wakat naendelea kuwapambaniaMimi naona ni jambo jema ikiwa kama una mali zako ila kama unaanza maisha unatulia tu na wakati mwingine unaacha wosia kwamba wanangu tafuteni maisha maana sio lelemama