Wana JF tujuzane mafuta yanapatikana wapi kwa sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF tujuzane mafuta yanapatikana wapi kwa sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jidundufila, Aug 9, 2011.

1. Jidundufila

Jidundufila Member

#1
Aug 9, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 86
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Binafsi naukubari mtandao wa jf ulioenea dunia nzima. Ingekua vema kwa walio tz tukapeana taarifa kuhusu vituo vinavyotoa mafuta kwa sasa

2. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#2
Aug 9, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Inategemea uko mkoa gani

3. President Elect

President Elect JF-Expert Member

#3
Aug 9, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 693
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Kama uko Dar fika katika vituo vya Kobil wana mafuta ya kutosha kwa usiku huu. Nawapa pole sana wananchi wote kwa adha wanayopata kutokana na tatizo hili la mafuta. Pamoja tutafika, Inshallah.

4. M-bongotz

M-bongotz JF-Expert Member

#4
Aug 9, 2011
Joined: Jan 7, 2010
Messages: 1,732
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
Yanapatikana hapa mtaa wa al-farouq kwenye mji wa abbotabad jirani na ile nyumba ya Osama.

5. M

Mwera JF-Expert Member

#5
Aug 9, 2011
Joined: Oct 26, 2010
Messages: 968
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Nenda katika vituo vya mafuta Vya GBP ambavyo vinapatikana na vimetapakaa nchini kote kasoro miji michache tu,hapo utapata mafuta hata ukitaka kujaza treni utapata.

6. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#6
Aug 9, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
Nenda kwa Kikwete au Ridhi 1 au masaki kwenye magenerator ya mawaziri

7. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#7
Aug 9, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180
Kama upo Dar nenda pale Magogoni kupitia geti la upande wa Ocean Road yanapatikana kwa wingi tena ni Tsh 1250/= kwa lita. Fanya hima. (simo)

8. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#8
Aug 9, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
nimesota pale big bon mori sinza karibu masaa matatu nikapata ya alfu kumi tu hawauzi zaidi ya alfu kumi. kila mtu alikuwa analilaumu hili li kwere kwa kutusababishia hali ngumu

9. samito

samito JF-Expert Member

#9
Aug 9, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 621
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
wanalilaumu li nan vile?

10. Globu

Globu JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Jan 12, 2011
Messages: 7,975
Likes Received: 175
Trophy Points: 160
Njoo Zanzibar yapo ya kumwaga. Teh teh teh.

11. Jidundufila

Jidundufila Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 86
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

Nadhani ingependeza tukijulishana kwa Tanzania tu

12. Jidundufila

Jidundufila Member

#12
Aug 10, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 86
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

As a thinker we want your contribution toward the issue and note jokes. Please your contribution on this particular issue will be highly appreciated

13. Mamndenyi

Mamndenyi JF-Expert Member

#13
Aug 10, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 29,081
Likes Received: 6,545
Trophy Points: 280
Magari tumepaki tunangojea maandamano kieleweke mbele kwa mbele mbona kwa malkia wameweza sisi tushindwe tuna nini.

14. P

Parachichi JF-Expert Member

#14
Aug 10, 2011
Joined: Jul 22, 2008
Messages: 517
Likes Received: 9
Trophy Points: 0
nasikia kibaha kwa matias yapo ya kumwaga!jana kuna jamaa alijaza mm akanichukulia lita 20!petrol inauzwa kama bangi!kweli hatuna nchi!

15. TheChoji

TheChoji JF-Expert Member

#15
Aug 10, 2011
Joined: Apr 14, 2009
Messages: 672
Likes Received: 175
Trophy Points: 60
Hapa moshi mafuta yako aventure. Ila foleni ndio balaa

16. 3squere

3squere JF-Expert Member

#16
Aug 10, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 928
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Jaman hinasikitisha nchi himeuswa njoo tegeta yapo kaka lakin kuna msongamano wa kweli inasikitisha

17. s

sanjo JF-Expert Member

#17
Aug 10, 2011
Joined: Oct 29, 2010
Messages: 943
Likes Received: 22
Trophy Points: 35
Mbona mwenzenu nimeacha gari. Kuna petrol stations ambazo zinauza mafuta kwa leo?

18. S

SOLOGWIGABA Member

#18
Aug 10, 2011
Joined: Aug 9, 2011
Messages: 22
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hapa DOM leo mafuta yanapatikana shell ya Bahi-road kwa Kharim peeke yake kwingine wanasubiri kuona kama serikali ina meno na yanang'ata kweli.

19. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#19
Aug 10, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 583
Trophy Points: 280

watu wanauliza mambo ya maana ujue.

20. Nguchiro

Nguchiro JF-Expert Member

#20
Aug 10, 2011
Joined: Nov 23, 2009
Messages: 365
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Korogwe lita ya petrol 4000 kwa jana sijui leo na kituo 1:5 ndo kinatoa huduma hii hakuna kwingine ****ing leadership nchi haina viongozi hii

Loading...