Gotaganzoc
Member
- Jul 26, 2008
- 22
- 8
Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
Taarifa nilizozipata hapa niko kwenye na simu kutoka ARUSHA ni kwamba hvi sasa naongea na mtu kutoka Arusha ni kwamba chadema imeshinda, Rstam Azizi chini igunga, chenge chini, arumeru magharibi chadema kapigwa chini wa ccm, mama kilango chini, masha chini, manispaa ya Arusha mjini-udiwani majimbo 14 yote chadema,Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.