Elections 2010 Wana JF tafadhali leteni habari zilizothibitishwa--hadi sasa ni mcahngamano tu

Gotaganzoc

Member
Jul 26, 2008
22
8
Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
 
Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
Taarifa nilizozipata hapa niko kwenye na simu kutoka ARUSHA ni kwamba hvi sasa naongea na mtu kutoka Arusha ni kwamba chadema imeshinda, Rstam Azizi chini igunga, chenge chini, arumeru magharibi chadema kapigwa chini wa ccm, mama kilango chini, masha chini, manispaa ya Arusha mjini-udiwani majimbo 14 yote chadema,
 
tunalalamik kuhuu nec kuchakachua matokeo lkn hata na hizi habari za humu jf nazo zinachakachuliwa
 
Tafadhari leteni habari za uhakika si za kubahatisha, mnatuchanganya! Hivi hakuna mtu wa kutupa habari sahihi kuhsu hayo majimbo mliyotaja?
 
Back
Top Bottom