Wana JF sijui hii iko je | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF sijui hii iko je

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mp Kalix2, Oct 31, 2010.

 1. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,240
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Niko kwenye mihangaiko ya kawaida nimemwomba mke wangu akacheki hali ya kituo tuliko pigia kura kama wamemaliza lakini cha ajabu amekuta kimefungwa na hakuna watu na alipo Uliza watu wa maeneo hayo wamedai wameondoka na kura kwenda kuzihesabia kwenye ofisi ya kata.
  Hii kitaratibu imekaaje?
  Toka .Jimbo la Kigamboni
   
 2. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,240
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Katika hali kama hii si ni rahisi kura kuchakachuliwa? au ndiyo utaratibu mpya ambao Tume ya Uchaguzi hujiamulia.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hapo ni mchakachuo mbele kwa mbele. Wamefanya makosa makubwa. Kwa nini hawajatoa taarifa kwa wahusika wa vyama vya upinzani?
   
 4. Profesy

  Profesy Verified User

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba tu wasimuibie Komu Tu...:nono:
   
Loading...