Ni kawaida yetu wana jf tunapofika eneo jipya kupeana hali halisi ya eneo husika,
nimewasili mpanda tangu jumatatu ya tar. 4/2,pamoja na majukumu mengine nitawapeni habari muhimu.
Mpanda iko mikoa ya nyanda za juu kusini lkn baada ya kuanzishwa kwa mkoa wa katavi sasa kigoma na katavi wanatengeneza kanda ya ziwa tanganyika.
Kutokea dsm mpaka mpanda ni umbali takribani km 1500 kwa barabara ukipitia moro,mikumi,iringa,mbeya, tunduma,laela,sumbawanga ndio unafika mpanda.
Hali ya hewa ni shwaari.
Knp nimeona wanyama wanene kuliko niliozoea kuwaona mikumi au serengeti...ukimwona twiga wa katavi utasimama tuuuu ni bonge la mnyama,sio kama vile vimbirikimo twiga unavyoviona mikumi aiseeee
kuna hoteli nzuri tu inaitwa lyamba lya mfipa
nafasi za kazi nilizikuta veta na tayari nimeziweka kwenye jukwaa lake.
Sehemu za kula ni shida sana sana,kuna tanganyika hotel lkn hadhi yake ni kama mama ntilie.....chafu sana
naendelea na majukumu ndani ya mji huu wana jf wenzangu mnipe donts za mji huu tafadali...... Na kujirusha wapi?