Wana JF nijuzeni kuhusu Anna Kilango jimboni kwake ameshinda?


Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Likes
117
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 117 160
Jamaani naombeni wenye data kamili mnijuze kuhusu hali ya mgombea wa jimbo la Same Mashariki Anna Kilango Malecela kama kashinda au la?
 
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,754
Likes
2,741
Points
280
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,754 2,741 280
Inasemekana kashindwa!kwa msaada wa watu wamarekani google!
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Likes
117
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 117 160
Inasemekana kashindwa!kwa msaada wa watu wamarekani google!
Hapo sijaelewa maneno ambayo nimeyabold. Niweke bayana kama una data za kura zilikuwaje?
 

Forum statistics

Threads 1,249,654
Members 480,983
Posts 29,706,325