Wana JF nawatakia wikiend njema

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Kwa furaha niliyonayo baada ya vijana kutupatia Raha ya kuingia nusu fainali, Naomba kuwatakia usiku mwema na wikiend njema.

Pamoja na kusherehekea ushindi naomba tuwe na kiasi katika mambo yote tutakayokenda kufanya.

All the best
 
Back
Top Bottom