Wana jf : Natafuta toyota nadia ya kumvua mtu................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf : Natafuta toyota nadia ya kumvua mtu.................

Discussion in 'Matangazo madogo' started by only83, May 4, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ............Wakuu naomba msaada wa kupata gari aina ya Toyota Nadia ambayo nitanunua kwa mtu...aliye na data anipe..specifications is as follow:

  • Isiwe imetumika kwa zaidi ya mwaka mmoja
  • Injini isiwe imeshushwa hata mara moja..
  • Rangi ya silver au metallic blank...
  • Kilometa iliyotembea zisizidi 100,000
  Generally iwe kwenye good order...picha ni muhimu na gharama yake...
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna dada mmoja alikuwa anaiuza, ngoja nitamsikiliza kesho halafu nitamuuliza vizuri then nitakupa info
  Pamoja
   
Loading...