hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,642
- 19,017
Nimekaa muda mrefu nikiogopa kutokana na matapeli kujitokeza humu Jf, lakini Tatizo langu limenizidi nimeona nijitokeze tu. Kwa jina naitwa hamisi nimemaliza chuo hapo NIT au chuo cha taifa usafirishaji , kozi ya uhandisi mitambo au mechanical engineering ,
Nimezuiliwa cheti sababu ya kudaiwa ada , ambayo Bodi ya mikopo haikuleta kutokana na uzembe uliojitokeza kati ya chuo na bodi wenyewe , hivo sikupata taarifa yoyote ya kuwa nadaiwa hadi nilipomaliza mwaka Jana mwez wa 7 , na nilipofatilia cheti ndipo nilipokutana na hilo deni , la shilingi million moja na laki 6 na elfu 25 na mia moja .
Nilifanya juhudi za kwenda Bodi ya mikopo Majibu niliyopewa bajeti ilishafungwa hivyo nikamalizane na chuo changu, Majibu ya chuo nilipe deni wanipe cheti, Nilienda kwa mbunge wangu Saed Kubenea lakini sikupata msaada wowote ,
Sikukata tamaa niliwaandikia barua chuo , bodi ya mikopo na wizara ya elimu .kuwaelezea kuwa nakosa cheti kwa makosa ambayo sio yangu, na sina uwezo wa kulipa hicho kiasi , maana nimekuwa nikijisomesha kwa kuungaunga ,
Hakuna walionijibu , nilirudi HESLB nikaomba nionane na Mkurugenzi mtendaji ,nilifanikiwa kumuona , nilimueleza swala langu ,akakiri kuna makosa yamefanyika ,hivyo akaniambia serikali imeamua madeni yote kuanzia 2015 yalipwe ,
Mimi hela yangu ya ada haikulipwa kuanzia 2014 ,
Hivo kutokana na hali hiyo bodi wakilipa hilo deni langu la mil 1.625(ambalo ni 2014-2016)
Watalipa kiasi cha laki 5 na elfu 58 tu ambacho hakikulipwa mwaka wa masomo 2015 , hivo kubakia deni la million 1.1 la 2014 .
Hivyo naomba Niweke barua ya chuo na kitambulisho changu , nahitaji msaada wa kiasi kilichobaki kwa member nikamilishe kupata cheti .,kwa kuja chuoni kuhakikisha ,kutokana na watu kutoaminiana siku hizi
Napatikana ubungo ,nahitaji nipate cheti nilitumikie taifa ,elimu yangu imekuwa bure
Namba yangu ni 0693-651136
Walio Dar es Salaam tunaweza kuonana , Yamenifika hapa ,nimekuwa nikifanya vibarua niwekeze ,najikuta natumia kwa mahitaji ya nyumbani , sipigi hatua ,
Najua kunawatakao nibeza , nipo tayari kutoa ushirikiano wowote unahohitajika kuthibitisha hili ,
Ninaomba na wenye vibarua au kazi yoyote halali wanisaidie hata kama haiendani na nilichosomea ,