Wana JF naombeni mnisaidie Yamenifika mwenzenu

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
807
1,000
Nimekaa muda mrefu nikiogopa kutokana na matapeli kujitokeza humu Jf, lakini Tatizo langu limenizidi nimeona nijitokeze tu. Kwa jina naitwa hamisi nimemaliza chuo hapo NIT au chuo cha taifa usafirishaji , kozi ya uhandisi mitambo au mechanical engineering ,

Nimezuiliwa cheti sababu ya kudaiwa ada , ambayo Bodi ya mikopo haikuleta kutokana na uzembe uliojitokeza kati ya chuo na bodi wenyewe , hivo sikupata taarifa yoyote ya kuwa nadaiwa hadi nilipomaliza mwaka Jana mwez wa 7 , na nilipofatilia cheti ndipo nilipokutana na hilo deni , la shilingi million moja na laki 6 na elfu 25 na mia moja .

Nilifanya juhudi za kwenda Bodi ya mikopo Majibu niliyopewa bajeti ilishafungwa hivyo nikamalizane na chuo changu, Majibu ya chuo nilipe deni wanipe cheti, Nilienda kwa mbunge wangu Saed Kubenea lakini sikupata msaada wowote ,

Sikukata tamaa niliwaandikia barua chuo , bodi ya mikopo na wizara ya elimu .kuwaelezea kuwa nakosa cheti kwa makosa ambayo sio yangu, na sina uwezo wa kulipa hicho kiasi , maana nimekuwa nikijisomesha kwa kuungaunga ,

Hakuna walionijibu , nilirudi HESLB nikaomba nionane na Mkurugenzi mtendaji ,nilifanikiwa kumuona , nilimueleza swala langu ,akakiri kuna makosa yamefanyika ,hivyo akaniambia serikali imeamua madeni yote kuanzia 2015 yalipwe ,

Mimi hela yangu ya ada haikulipwa kuanzia 2014 ,

Hivo kutokana na hali hiyo bodi wakilipa hilo deni langu la mil 1.625(ambalo ni 2014-2016)

Watalipa kiasi cha laki 5 na elfu 58 tu ambacho hakikulipwa mwaka wa masomo 2015 , hivo kubakia deni la million 1.1 la 2014 .

Hivyo naomba Niweke barua ya chuo na kitambulisho changu , nahitaji msaada wa kiasi kilichobaki kwa member nikamilishe kupata cheti .,kwa kuja chuoni kuhakikisha ,kutokana na watu kutoaminiana siku hizi

Napatikana ubungo ,nahitaji nipate cheti nilitumikie taifa ,elimu yangu imekuwa bure

Namba yangu ni 0693-651136

Walio Dar es Salaam tunaweza kuonana , Yamenifika hapa ,nimekuwa nikifanya vibarua niwekeze ,najikuta natumia kwa mahitaji ya nyumbani , sipigi hatua ,

Najua kunawatakao nibeza , nipo tayari kutoa ushirikiano wowote unahohitajika kuthibitisha hili ,

Ninaomba na wenye vibarua au kazi yoyote halali wanisaidie hata kama haiendani na nilichosomea ,
New%20Doc%202020-02-20%2008.44.41_2.jpeg
 
No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,869
2,000
Wewe jamaa vipi? Kwani cheti ndo kitakupa kazi? Kwanza cheti hakionyeshi academic qualifications za masomo zaidi ya kutoa maelezo kiujumla. Kama umepata maarifa kweli unaweza kufanya application kwa kutumia Transcript (ambazo utolewa bure kwa vyuo na Taasisi za Elimu) ukaambatanisha na Provisional Certificate (ukiomba hapo chuo utapewa) alafu ukawa unaandika barua ya maombi ya ajira na kama unakithi vigezo utaitwa kwenye interview na kuwaambia cheti chako kimeshikiliwa sababu ya karo na kama utaonekana una maarifa utapata ajira!

Acha kufungwa na mawazo ya Cheti kijana. Mimi hayo yaliwahi kunipata katika shahada ya kwanza nikapata ajira nikafanyakazi nikawalipa karo yao nikaja kuchukua cheti changu baadaye. Mpaka sasa mimi pia kuna cheti cha Uzamili bado kinashikiliwa lakini haikunizuia kuomba kazi nikapata baadaye nikaacha kazi maana kwangu kuajiliwa hakulipi nikajiajiri kwasababu shuleni nilifuata maarifa na baada ya kuyapata naendesha maisha mpaka sasa!

Kwahiyo kama unataka ajira omba kwa kutumia Provisional Certificate na Transcript kwenye interview waambie cheti kimeshikiliwa. Vinginevyo, hata kama ukipata hicho cheti utarudi hapa JF ukilia njaaa na serikali aijakuajili!!

Duhhhhh! Aaaghaaaa! Taaabu kweli kweli! vijana wetu wanasomea cheti na sio maarifa!
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
807
1,000
Nimekaa muda mrefu nikiogopa kutokana na matapeli kujitokeza humu Jf, lakini Tatizo langu limenizidi nimeona nijitokeze tu. Kwa jina naitwa hamisi nimemaliza chuo hapo NIT au chuo cha taifa usafirishaji , kozi ya uhandisi mitambo au mechanical engineering ,

Nimezuiliwa cheti sababu ya kudaiwa ada, ambayo Bodi ya mikopo haikuleta kutokana na uzembe uliojitokeza kati ya chuo na bodi wenyewe, hivo sikupata taarifa yoyote ya kuwa nadaiwa hadi nilipomaliza mwaka Jana mwez wa 7, na nilipofatilia cheti ndipo nilipokutana na hilo deni , la shilingi million moja na laki 6 na elfu 25 na mia moja .

Nilifanya juhudi za kwenda Bodi ya mikopo Majibu niliyopewa bajeti ilishafungwa hivyo nikamalizane na chuo changu, Majibu ya chuo nilipe deni wanipe cheti, Nilienda kwa mbunge wangu Saed Kubenea lakini sikupata msaada wowote.

Sikukata tamaa niliwaandikia barua chuo, bodi ya mikopo na wizara ya elimu kuwaelezea kuwa nakosa cheti kwa makosa ambayo sio yangu, na sina uwezo wa kulipa hicho kiasi , maana nimekuwa nikijisomesha kwa kuungaunga ,

Hakuna walionijibu , nilirudi HESLB nikaomba nionane na Mkurugenzi mtendaji ,nilifanikiwa kumuona , nilimueleza swala langu akakiri kuna makosa yamefanyika ,hivyo akaniambia serikali imeamua madeni yote kuanzia 2015 yalipwe.

Mimi hela yangu ya ada haikulipwa kuanzia 2014 ,

Hivo kutokana na hali hiyo bodi wakilipa hilo deni langu la mil 1.625(ambalo ni 2014-2016)

Watalipa kiasi cha laki 5 na elfu 58 tu ambacho hakikulipwa mwaka wa masomo 2015 , hivo kubakia deni la million 1.1 la 2014 .

Hivyo naomba Niweke barua ya chuo na kitambulisho changu , nahitaji msaada wa kiasi kilichobaki kwa member nikamilishe kupata cheti .,kwa kuja chuoni kuhakikisha ,kutokana na watu kutoaminiana siku hizi

Napatikana Ubungo ,nahitaji nipate cheti nilitumikie taifa ,elimu yangu imekuwa bure

Namba yangu ni 0693-651136

Walio Dar es Salaam tunaweza kuonana , Yamenifika hapa ,nimekuwa nikifanya vibarua niwekeze ,najikuta natumia kwa mahitaji ya nyumbani , sipigi hatua ,

Najua kunawatakao nibeza , nipo tayari kutoa ushirikiano wowote unahohitajika kuthibitisha hili ,

Ninaomba na wenye vibarua au kazi yoyote halali wanisaidie hata kama haiendani na nilichosomea ,
New%20Doc%202020-02-20%2008.44.41_2.jpeg
 
Attachments

  • New%20Doc%202020-02-20%2008.44.41_2.jpeg
    File size
    49.9 KB
    Views
    0

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
560
1,000
Dah.. Pole kwa changamoto hii naamini humu kuna watu wenye unafuu wa maisha watakusaidia mkuu
 
Espy

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
69,729
2,000
Bodi walinifanya nalipa deni mara mbili hawakupeleka ada chuoni ikabidi niilipe na bado wakajumlisha kwenye deni wanalonidai. Nilifuatilia hadi nikachoka shuaini zao.

Pole sana mtoa mada.
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
807
1,000
Bodi walinifanya nalipa deni mara mbili hawakupeleka ada chuoni ikabidi niilipe na bado wakajumlisha kwenye deni wanalonidai. Nilifuatilia hadi nikachoka shuaini zao.

Pole sana mtoa mada.
Yaani wamenifanya nione elimu niliyoisotea ni bure tu
 
Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,608
2,000
Pole ndugu. MUNGU akusaidie ukutane na malaika wako humu.

Au lah! Fanya juhudi za kumuona RC DAR-Makonda. Yule jamaa hakuna mahali anakwama hapa dsm haswa kwenye mambo haya ya kusaidiana.

Alishawahi kusaidia mtoto/kichanga wa mdogo wangu kutoka pale muhimbili bila kelele maana tuliwekewa bill ya 4mil ambayo hatukuwa na uwezo nayo.

Kila la kheri ndugu.
 
Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,336
2,000
Mkuu unapigania cheti sawa ila je? Kuna ajira??
Nakushauri tafuta kazi yoyote ufanye kisha ufatilie cheti chako mm naumia kumwona mdogo wangu kalaza degree yake nilohangaika kufanya kazi"yoyote" ili tu asome
Kamaliza kapata cheti ,degree ila dohh hakuna faida ya hyo elimu
Mkuu tafuta kazi/kibiashara chochote kile fanya

Pia mcheki alberto msando huwa anachangisha sana pia
Mcheki le mutuzi pia yupo karibu na wadau wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom