Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf naomba radhi kwa hili la dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpiganaji tz, Nov 11, 2010.

 1. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama vile alikosea kugombea urais kwani atakosa mshiko wa ubunge! Mimi nikaona kama ni mshiko si lazima aupate bungeni hivyo basi nikatoa wazo la kufungua akaunti wafuasi wake tuwe tunampatia kile ambacho pengine angekipata bungeni na asione kama amepoteza sana.nitafurahi endapo wana jf na wazalendo wenzangu mtanisamehe kwa hili. Nampenda sana dr. Slaa, naipenda chadema, naipenda tanzania natamani siku moja nchi yetu ikombolewe.asanteni
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ukombozi gani?
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Was a good idea but i think instead ya kumchangia mtu tuchangia chama
   
 4. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukombozi gani!!!! Kama hujui ni ukombozi upi tunaongelea, we endelea kuuchapa usingizi kila jamii ndondocha kama wewe hawakosagi.
   
 5. p

  pierre JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukombozi wa kiuchumi na kimawazo.Tupo katika utumwa wa kiuchumi hali zetu duni na ujinga unaoletwa na woga wetu na mawazo finyu.Mkombozi wetu ni Dr.Slaaa.
  Kuhusu akaunti,sioni kama ipo haja ya kufanya hivyo maana hakuwa anagombea kwa ajili ya mshiko,ni yale mapenzi aliyonayo kwa watanzania.Kufanya hivyo ni kumfanya kuwa anataka fedha kitu ambacho kama na pesa anazo na ndio maana alileta mabadiliko Karatu bila pesa ya serikali.
   
 6. Nkoboiboi

  Nkoboiboi JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwana jf akiomba msamaha msmehe. Kuna facts hakuzijua juu ya Dr. Slaa na Chadema.
  Mie nimeshamsamehe.
  Ila akitaka kuchanga atumie 15710:yield::yield::yield::yield::yield::yield:
   
 7. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank u pierre! May the lord bless u. Sasa najisikia ahueni
   
 8. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli ulichemka ile mbaya, duh!!
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,807
  Trophy Points: 280
  broda mbona muoga hivi au mgeni humu .. kuwa na msimamo na kauli yako! .. ukiwa hivo kaka humu JF utaomba msamaha kila siku.. idea yako ya mchango ilikuwa nzuri.. wale waoga wa kuchangia lazima wa criticize hoja yako
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  red&bold ni mawazo ya kina Malaria Sugu na genge lake.

  Dr. Slaa siyo Lyatonga.

  Nimekusamehe
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  pumba
   
 12. Mpiganaji tz

  Mpiganaji tz Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nkoboiboi, umenipa faraja. Thanks alot! Tupo pamoja.mungu ibariki jf, mungu ibariki tz, mungu ibariki chadema, mungu azidi kuwabariki watz wote wenye mapenzi mema.
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,807
  Trophy Points: 280
  sometimes ya such a cunt , sio kila mtu atakuwa na mawazo uliyokuwa nayo wewe, JF hii ina watu mbalimbali wenye mawazo tofauti , soma nyakati kijana ! lafu nakumbuka kuna post ulisema bora ungezaliwa mbwa ulaya! "nikasema sijapata kuona mtu mwenye mawazo ya kushoto kama yako" now nakusuppport 100%
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Mbwa(Mkapa)? ****(Kikwete)? Baamedi(Makongolo)?

  Kuna tofauti gani na mbwa wa ulaya??

  Acha kuibwabwaja. Tangu umeingia hapa unalalama tu.

  Angalia hapo juu kulia kuna button ya Log out ubofye kama huwezi kukaa jamvini bila kulalama.
   
 15. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Mt,

  uko vizuri sana hiyo inaoonyesha kuwa unamtakia mapenzi mema DR. Slaa na Chadema yetu katika upambanaji, usivunijke moyo na baadhi ya majibu, tuendeleze mapambano mbele kwa mbele ktk kuichangia chama chetu kwa hali na mali. Keep it up!!!!!!!!!!
   
 16. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa hahitaji kuchangiwa. Chadema watapata ruzuku ya kuwawezesha kuishi. ila kama ni kuwajibika kama katibu mkuu ndio nafasi nzuri ya kukiimarisha chama.kuwajibika siyo bungeni tu au urais. walenge 2015
   
 17. m

  mchakachuaji1 Senior Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo ni sawa kabisa, pia inaonesha huyu jamaa sio mwanachama wa chadema maana alitakiwa afahamu kila kitu ndani ya chama ikiwa ni pamoja na hilo la dr. Slaa pia.
   
 18. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa anashauriwa atembelee Tanzania nzima tena, sio tu kuwashukuru wananchi walivyompokea vizuri wakati wa kampeni zake za u-Rais, bali kusimika chama cha Chadema at the grassroots level, ili ifikapo Oktoba 2015 Chadema washinde uchaguzi wa Rais na Wabunge. Kuisimika Chadema nchi nzima itachukua miaka hii minne hadi Novemba 2014. Kwa hiyo Chadema ni lazima kiwezeshwe kumudu gharama za kumsafirisha Dr Slaa pamoja na viongozi wengine

  Kwa hiyo wazo la kumchangia Dr. Slaa liwe ni la kuchangia Chadema kiweze kumhudumia kiongozi huyu muhimu na wasaidizi wake.
   
 19. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  true that
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  @MT

  wazo lako nizuri tu, ila kwa bahati mbaya, mtu kama Slaa si kama wewe unayeweza kujitosa sehemu bila kuwa na long term plan, the guy did his homework na ndio maana hata sasa hivi yuko Dodoma... slaa has produced watoto 23 nadi ya siku sabini, na chadema kinaudna serikali ya wapinzani

  zaidi ya hayo CHADEMA wana kazi kubwa sana ya kukifanya chama hicho kuwa cha kitaifa zaidi... vyote hivi ni kazi...

  Usijali sana walausihofu kupingana na watu wengine kimawazo kwani level yako ya uelewa ni ndogo kidogo... lakini ndio unakua taratibu, hata mimi nilikua mbumbumbu kama wewe nikidhani JK angekosa urais labda angelosti, kumbe si kweli, ana vitega uchumi vya kutosha hadi familia nzima iliingia uwanjani kuvilinda

  In short naweza kusema kwamba, kama kuna siku unataka kuwa mwanasiasa, hakikisha mtaji wako usiwe 100% siasa...
   
Loading...