wana JF naomba mnisaidie majina ya shule at least 10 za sekondari zilizopo wilaya ya Pangani, Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana JF naomba mnisaidie majina ya shule at least 10 za sekondari zilizopo wilaya ya Pangani, Tanga

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanakazi, May 5, 2011.

 1. m

  mwanakazi Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wadau av tried to search kene net but cjazipata, nimepata 3 tu! i think shule za kata hazipatikaniki kwenye net coz nying ni mpya,hazina hata form4 walomaliza. naomba anayezifahamu anitupie jamvini...both za prvate au government ilimrad ni sekondari. nikipata shule na kata zilizopo itakua poa zaidi wadau..............
  THANKS!
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Mpwa, sio kwamba unatakaku-cook data? Si uende tu field? au umeshapewa posho ndio imeishia kwenye majukumu ya kifamilia? Ok, Tanga Tech, Usagara, Popatilal (Spelling) Galanos, Raskazone, Mikanjuni, Rosmin (owned by RC) Sahare, Euckenforde, Coastal High School, aaah nimechoka bana! wengine watamalizia zilizobakia! all da best katika kazi yako! za pangani nakumbuka ya Funguni tu, nyingine sizifahamu mkuu
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Elli,

  Haujasoma vizuri "heading"!!!

  Anataka kufahamu shule zilizopo Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga!

  Anywayz, wengine Ta, Tumeishia Maramba JKT!
   
Loading...