Wana JF namsaka mke wangu, nisaidie mwenzenu....

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Namsaka mke wanguX2
Hapa hayupoX2
Kenda wapiX2
Kenda kusukaX2
Kenda na naniX2
KashaijabutegeX2
Tumpeleke mnazi mmojaX3

Furahini katika Bwana, nasema furahini.

Tuimbe kwa raha zetu. Maisha yenyewe mafupi (miaka 70, ukila viagra utafikisha 80!), kwa nini tunune?

Raha jipe mwenyewe.
 
chanuo kampa nani x2
kampa msusiX2
huu mti gani..?
wa mchongoma!
nikiukata..??
haukatiki!
nikiuchoma???
hauchomeki....
endelea...................:embarrassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom