Wana JF msaaada pls!

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu.

Tafadhali naomba mwenye nayo hata ya mso 2003 anisaidie plzzz
 
Jaribu kutafuta kwenye link hii h33t.com
Lakini pia hakikisha una uttorent installed kwenye pc yako
Alafu siku nyingine fuata maelezo ya mdau hapo juu la sivyo hutasaidiwa.
 
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu.

Tafadhali naomba mwenye nayo hata ya mso 2003 anisaidie plzzz
next tym weka email yako wadau waweza kukutumia....
 
nashukuru wadau email yangu ni geniusmax@ymail.com

nashukuru kwa michango yenu, tuko pamoja wakubwa tuvumiliane kwa mapunguvu.... Mungu awabariki sana
 
jaribu kutafuta kwenye link hii h33t.com
lakini pia hakikisha una uttorent installed kwenye pc yako
alafu siku nyingine fuata maelezo ya mdau hapo juu la sivyo hutasaidiwa.

mkuu kaaa la moto nakushukuru sana mkuu, mungu akubariki akhisante bila shaka umewasaidia na wadau wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom