Wana JF, madhara ya Kupakata Laptop huku ukifanya kazi kwa mda mrefu je

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Inapunguza nguvu za kiume na mpaka kufikia nyoka kuwa nyoka wa kibisa (hana madhara). Maana watu 3 wameniambia kitu kimoja pindi wamenikuta nafanya kazi. Kama ni kweli, naomba kufahamu madhara wapatayo wanawake.
 
Inawezekana ni kweli maana uwezo wangu umepungua kutoka vinne hadi kimoja cha wasiwasi. Hawa wazungu wabaya sana , kwa nini wanaiita laptop?
 
Hahahahah pole aseeee kuwa makin na wife asije kutafutia helper lol
Inawezekana ni kweli maana uwezo wangu umepungua kutoka vinne hadi kimoja cha wasiwasi. Hawa wazungu wabaya sana , kwa nini wanaiita laptop?
 
Inawezekana ni kweli maana uwezo wangu umepungua kutoka vinne hadi kimoja cha wasiwasi. Hawa wazungu wabaya sana , kwa nini wanaiita laptop?

kocha akishuka kiwango cha ufundishaji timu ikiwa inafungwa au kutoa sare nyingi anatimuliwa kibarua. uwe mwangalifu kijana your wife asije akakufungushia vilago ukamfuata Di Mateo!!
 
Mzee hizi laptop hizi mbona balaa, kweli mimi ni mtu wa kupiga kimoja tu . Akiondoka sawa tu mzee wangu, Mungu atanilipia.
 
Back
Top Bottom