Wana JF kuna hii kitu imetokea kwenye acc ya facebook nin nin?http://red10000.blogspot.ca/?

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,619
771
Jana kuna link ya picha ya rihana iliiingia kwenye acc ya facebook na ikasababisha acc yangu aikagoma kufunguka kabisa mpaka sasa,na ile link ya acc yangu ya facebook inaonekana kama hivi:Please Follow Steps to restore your account ,mpaka muda huu inafunguka then iarudi kama hayoa maandishi,mwenye uelewa wa hii kitu msaada samahani.
 
imekuwa hacked kaka, hyo ni njia moja wapo wanayo2mia kufanya hvo.... Mara nyingi huwa wanasema nude pics za Rihana, Nick minaj or any other famous artist. Ukiclick 2 wanaacess account yako
 
imekuwa hacked kaka, hyo ni njia moja wapo wanayo2mia kufanya hvo.... Mara nyingi huwa wanasema nude pics za Rihana, Nick minaj or any other famous artist. Ukiclick 2 wanaacess account yako
Sasa si umwambie afanye nini kuzitoa?
 
Imetokea kwangu pia,watatuma post za picha chafu na kutag friends zako wote,wahi log in leo itakubali kisha remove hiyo post kwenye wall yako
 
cha msingi dnt click any suspicious link ukiwa facebook... Especially thse which seem 2b 2good 2b true! 1nc dat happen, the quick reaction ni kulogout. Then login afu futa any damage iliyotokea... The longer you stay in the more itapost the thngs u dnt want to or u didnt.
 
Nimejaribu na imekubali,cha muhimu badilisha setting zako za ku log in hasa password ya facebook na e-mail acc yako!
 
Back
Top Bottom