WANA JF kuna foleni kali sana hapa njia ya kwenda Kibaha gari haziendi kuna gari nyingi

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wadau foleni inatuumiza tunaenda mikoani lakini mpk ss gari haziendi foleni ni kubwa sana kuna mabasi,malori,gari binafsi hali ni mbaya plz usalama bara barani mtusaidie!
 
hata gari lako ni miongoni mwa yanayoleta hiyo jam hapo ...!!shuka nenda kwa mguu paki gari pembeni.
 
kwani ni nini kimetokea hapo kusababisha hiyo hali.....?
 
mwengeeeee ee mwenge mbio mbio.....mwenge tunaukimbiza....mbio mbio....
 
Wadau foleni inatuumiza tunaenda mikoani lakini mpk ss gari haziendi foleni ni kubwa sana kuna mabasi,malori,gari binafsi hali ni mbaya plz usalama bara barani mtusaidie!

Cool down boy, kuna kamisheni ya rais inakusanya maoni ya uundwaji wa viraka vipya vya katiba ndio magari yote yanasimamishwa ili mtoe maoni. Ntolee na mimi
 
Back
Top Bottom