wana jf Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana jf Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by measkron, Jul 3, 2011.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Nimependezwa na umoja wa wana jf Arusha, napendekeza kuwe na umoja huu sehemu nyingi zaidi. Wana jf Kilimanjaro mpo? Tunaweza kuwa na gathering zaidi ya kukutana na hoja za jukwaan? Wanaounga hoja mkono karibun.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu unamaanisha Wachagga? na mpoo wengi humu
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  km hujui basi elewa anzia leo kuwa kilimanjaro ni mkoa wa wachaga na wapare
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni wazo zuri sana, japo kuna kipindi watu wa Arusha tulijaribu kuwatafuta wa Kilimanjaro tuliwapata wachache sana, nia na dhumuni ilikuwa tuunde kundi la pamoja, kwa hiyo kama mtakuwa tayari mnakaribishwa sana, sisi tupo tayari kuwatembelea......thx Preta...JF HQ
   
 5. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kuna makabila mengine wapo kilimanjaro ambao pia ni wana jf mkuu.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  km huelewi uliza uelekezwe kilimanjaro kunaishi wapare na wachaga
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hoja yako ni nzuri sana na ninakuunga mkono, binafs ni mzaliwa wa kilimanjaro na kwa sasa nipo Mo town
   
Loading...