Wana jf hivi nauliza mahabari ya ufisadi yameisha au vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf hivi nauliza mahabari ya ufisadi yameisha au vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, Jun 4, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HELO WANA JF TZ NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU AU VIPI UFISADI KUSHNEYY AU NDIO CHANGA LA MACHO
  HEBU NIJUZENI MAANA HATA SISIKII ISHU ZAKE
  cONQUEST-MTEMI WA VIJIWENI NI MIMI MIA HAINIPOTEI KWA MFUKO
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Habari za ufisadi zimewekwa PENDING hadi hapo baada ya uchaguzi. Habari za uchaguzi ndio zimechukua nafasi kwa sasa!
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  tuko na timu ya brazili kwa sasa.

  matatizo yetu yote pending

  lengo lao lilikuwa ni liyumba
   
Loading...