Wana JF, hivi huyu Mzee Datsun Tido Mhando anjitambua?

lile swali lilikua halina jibu hivyo ni kumuokoa tu muheshimiwa
Mbona alilijibu hata kabla ya kuulizwa manjaa yawezekaa alikuwa na njaa ndiyo. Maana aliuliza swali ambalo lilishatolewa maelezo. Kwa hiyo kila mmoja anaruhusiwa kutafasiri namna anavyoona.kwahiyo
Mlitaka awajibu mnavyotaka nyie. Siyo kila jibu litakalo tolewa likufurahishe
 
Kwenye mjadala wa leo wa taaluma ya habari kuna waziri mmoja aliongea kuhusu form 4 na nguli mmoja wa habari --- sikumuelewa, halafu waziri huyo naye hakuimalizia hiyo story.
 
Tido haswa kipindi cha kampeni alikuwa anaamrishwa kutoka juu,na kilichomtoa tbc ni kukiuka maagizo ya aliemuweka pale akaondolewa,
 
Alichofanya tido ni kuona mtangazaji wa kujitegemea asiyekuwa na chombo kinacho mlipa anauliza swali TAMU na lililokuwa likisubiriwa na WATANZANIA wengi wakati wao wakilipwa na vyombo vyao wakiuliza maswali ya kumsifu mkulu na kutukuza akaona liwalo na liwe aibu yake
 
SEGUZO kabla hujabofya kitufe cha send baada ya kuandika chochote uwe unajaribu kupitia mara mbili au mara tatu kujiridhisha kama ulichoandika kitaeleweka kwa wengine. Binafsi sijui unauliza nini katika thread yako.
Uposahihi siokukurupuka kwanza kujitambua unachokiandika
 
Mwaka 2000 Tido alikua BBC,inaonyesha hujui vitu vingi sana na una kiherere km mndengereko wa rufiji...
Who cares!!?..Kuwa BBC halafu unashindwa hatab kuuuliza swali lenye maana kwa raisi,basi hata hiyo BBC yako haikukusaidia kitu,unakuwa BBC halafu hujitambui,kazi kujipendekeza kusiko na maan.Bora hata asingekuwa BBC sababu hana tofauti na mtu ambaye hakwenda BBC.
 
Mkulu alikuwa kashajidharilisha,na Tido aligundua hilo nakuona anajibu uji..nga,kwahiyo hapakuwa na maana yajuendelea kujibu.

Big up brother Pasco wewe ndio mwandishi na hakika msukuma mwenzio hatakusahau,na atakutafutia kazi ikulu.
Watu wanaojisifia sana hanaga time nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom