Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Samvulachole

JF-Expert Member
Oct 22, 2006
413
117
nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano naye ,je unaweza kutufahamisha yuko wapi MLALAHOI?

binoculars.jpg
 
huyu bwana kuna mada moja nimeisoma kachangia hapa hivi karibuni
 
Samvulachole

Mlalahoi alikuwepo hapa jana sasa sijui unamtafuta wapi?

Follow the link:

Thanks.

Mlalahoi
JF Senior Expert Member Join Date: Thu Aug 2006
Location: London, UK
Posts: 536
Rep Power: 23

Thanks: 44
Thanked 28 Times in 20 Posts
Credits: 90

Hivi kuna mtu ameshabaini kuwa mara nyingi huyu jamaa SHY huwa anaanzisha mada zake za utata then anaingia mitini?

http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=70457#post70457
 
ehhh we naye huna dogo?

haya shukran nilihisi kama hana beef na Shy basi atakuwa na beef na MKJJ

salute-1.jpg
 
Samvula, You are funny man! :) the above really cracked me up..(not sure with Wayahudi though)

SteveD.
 
haya shukran nilihisi kama hana beef na Shy basi atakuwa na beef na MKJJ

Samvulachole,nipo ndugu yangu ila ukimya wangu ni kutokana na pilika za kuuwezesha mkono uende kinywani.Lakini mbona sijawahi kuwa na beef lolote na MKJJ?In most cases,niko nae on same side of the coin.Pasipo kumaanisha kuwa na-demand ushahidi,nitashukuru kama utanionyesha posts zilizoashiria kuwa kuna beef kati yetu.Kuhusu SHY sio beef bali ni kuelimishana tu,nothing personal.
 
Jamani nimejaribu kutafuta post za mchambuzi kwa siku za usoni sizioni. Mchambuzi aliingia kwa kishingo hadi watu wakataka apewe usinior wa heshima. Alichangi kwa muda mfupi sana akaupata usinior. Sasa sioni tena mawazo yake na hoja zanke zenye nguvu. Je ilikuwa ni nguvu ya soda? au Mchambuzi umebadili jina? Tunakuhitaji uje ukate nondo.
 
Narudi very soon wana JF, nina matatizo kidogo ya kifamilia lakini muda si mrefu nitakuwa nanyi. kuna interesting political developments zimetokea na nimesoma juu juu hoja za wana JF na ntazirudia punde. samahanini sanakwa ukimya.
 
hamna shida mchambuzi, tunakuombea kila la heri hayo matatizo yako yakae sawa tuwe nawe jamvini.

kwa kweli tumekukosa kwa muda mrefu na kuna mengi ambayo yanahitaji mawazo yako kuanzia ya kule Arusha, ya bwana Lowassa na mengine.

ila weka sawa mambo kwanza ili ukija uje vizuri tunakusubiri mkuu
 
We acha janja ya nyani si uweke wazi hapa kwamba ulikuwa busy kama MCHAMBUZI ukaupumzisha ULALAHOI wako.
W weka wazi hapa kuwa MLALAHOI AKA MCHAMBUZI.
 
Narudi very soon wana JF, nina matatizo kidogo ya kifamilia lakini muda si mrefu nitakuwa nanyi. kuna interesting political developments zimetokea na nimesoma juu juu hoja za wana JF na ntazirudia punde. samahanini sanakwa ukimya.

Sio kwamba ulikuwa unakusanya nguvu? maana kuna mada kibao huku zilikutaka utupe busara zako, unakuja na majibu yake au unakuja na mpya?
 
Jamani nimejaribu kutafuta post za mchambuzi kwa siku za usoni sizioni. Mchambuzi aliingia kwa kishingo hadi watu wakataka apewe usinior wa heshima. Alichangi kwa muda mfupi sana akaupata usinior. Sasa sioni tena mawazo yake na hoja zanke zenye nguvu. Je ilikuwa ni nguvu ya soda? au Mchambuzi umebadili jina? Tunakuhitaji uje ukate nondo.

Nipo mtoto wa mkulima.
 
We acha janja ya nyani si uweke wazi hapa kwamba ulikuwa busy kama MCHAMBUZI ukaupumzisha ULALAHOI wako.
W weka wazi hapa kuwa MLALAHOI AKA MCHAMBUZI.

Kwa vile una posts 4 tu naamini in the future utajitahidi kutumia zaidi ubongo wako,na sio vidole, kufikiria kabla hujaandika.Hebu fuatilia posts zangu (kwa mfano katika ishu ya mkutano wa akina Slaa) then ufanye conclusion ukiwa macho,na sio from the air.
 
Inasemekana mara ya mwisho alionekana facebook akifanya vitu vyake...:)
 
Kanicheck kwa PM jana, anadai yupo Rio de Jeneiro, anakandamiza kwa kibrazil!!.
 
Back
Top Bottom