Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa ingekuwa siku ya kuzaliwa kwa Bishanga, Lizzy, Pacco, B52 au Invisible! Hapa pasingetosha! Mm Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, wote mmekiwa kimya! Mmeniboa na kuniudhi wana Jf la sivyo mnitake radhi kwa kunibania wishes zangu. Asanteni kwa kunielewa.
By Ta kamugisha
By Ta kamugisha