Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
HIYO PICHA NIMEIPRINT NIKAMUONYESHE BABA WATOTO, HUWA NAMWAMBIA JF RAHA, HANIELEWI! BADO INANICHEKESHA, NIMECHEKAAAAAAA HASA Ritz alivyosimama, utasema anapiga ramli! kwi kwi kwi kwi!
nakwambia!! sidhani kama mbuga zetu zitakuwa salama, kwa watu hao hapo juu!!Umeyaona na hayo magobole yao hapo mezani ya kuwindia Tembo.....
Smile, kwenda huko Tanga tunapewa allowance? au tunaenda kutumia zetu>>>>>>>>>
Smile nadhani ungechukua register ya wote walio serious kwa pm.. Namba ikitosha basi uta arange meeting ili kupanga jinsi ya kuondoka.
Nahis pia kuna wengine wanataka kwenda private na sio kuondoka na group hapa Dar. Ndio maana kuna kimya.