Wana jf dsm tunakutana lini

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Naombeni mnijibu kama tutawajoin wenzetu wa arusha kwenda tanga nataka kupanga mambo yangu mapema na baby wangu tafadhali,au mnataka niachike tena?
Acheni hizo kama hamtaki semeni
na Rejao na @
attachment.php
Ritz mkimaliza kikao mje na huku jameni sio kila siku siasa tu
 
Last edited by a moderator:
hata wasipo panga mimi na wewe tupange twende zetu kuwajoin. lakini kumbuka kule kutakuwa kiumbe kinanisubiri. tukifika ujifanye hunifahamu but akishaondoka tu itakua yote yako. mia
 
Nafikiri member wa dar, ikishindikana kuungana na wenzetu wa Arusha, sie tu organise twendeni hata bagamoyo, dar zoo au hata Jangwani see breaze tujumuike kwa pamoja
 
Smile nadhani ungechukua register ya wote walio serious kwa pm.. Namba ikitosha basi uta arange meeting ili kupanga jinsi ya kuondoka.
Nahis pia kuna wengine wanataka kwenda private na sio kuondoka na group hapa Dar. Ndio maana kuna kimya.
 
Last edited by a moderator:
Kama kutakua na wana Jf , watao kutania hapa hapa dar naombeni mnijuze. Tanga sitoweza kwenda kwasababu za kifamilia
 
hata wasipo panga mimi na wewe tupange twende zetu kuwajoin. lakini kumbuka kule kutakuwa kiumbe kinanisubiri. tukifika ujifanye hunifahamu but akishaondoka tu itakua yote yako. mia
tuwe sirias bwana .unaenda?
 
Smile nadhani ungechukua register ya wote walio serious kwa pm.. Namba ikitosha basi uta arange meeting ili kupanga jinsi ya kuondoka.
Nahis pia kuna wengine wanataka kwenda private na sio kuondoka na group hapa Dar. Ndio maana kuna kimya.[/QUOTE Madam B sijui yupo wapi atoe mwongozo
 
Smile zion Daugher katoa ushauri poa watu wakupm kama wanataka kwenda.........mie nikipata muda nitakwenda is unajua tena mambo yaleeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Smile, kwenda huko Tanga tunapewa allowance? au tunaenda kutumia zetu>>>>>>>>>
 
Last edited by a moderator:
HIYO PICHA NIMEIPRINT NIKAMUONYESHE BABA WATOTO, HUWA NAMWAMBIA JF RAHA, HANIELEWI! BADO INANICHEKESHA, NIMECHEKAAAAAAA HASA Ritz alivyosimama, utasema anapiga ramli! kwi kwi kwi kwi!
 
Last edited by a moderator:
Nilishasema tangu zamani,tatizo kubwa la members wa Dar ni njaa kali,ona mmoja hapo juu anaulizia posho.Ushaona wapi mtu unaenda kupumzisha akili ulipwe posho...Kwa hisani ya watu wa Arusha..
 
Smile nadhani ungechukua register ya wote walio serious kwa pm.. Namba ikitosha basi uta arange meeting ili kupanga jinsi ya kuondoka.
Nahis pia kuna wengine wanataka kwenda private na sio kuondoka na group hapa Dar. Ndio maana kuna kimya.

Zion kama tulivyoongea shirikiana na smile kupanga hiyo kitu kwa watu wa dar wanaoenda tanga waende.
Cacico,Mtambuzi, Remmy, Nicas, Figaniga,Cielo,gifslwn,Ismail,Dena snowhite,St. Paka Mweusi, Madame B na wengineo tafadhali toeni ushirikiano wa kufanikisha kusudio tarajiwa
 
Smile watu wa Dar ambao tunaenda Tanga tumeshajioganaizi.
Tumepatikana 6 tu.
Na hiyo safari ipo labda wewe tu ndo hukupiemiwa.

Ok ok Ngoja nije Pm.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom