mimi nipo dar ila naeza kuja kukusaidia sijaolewa lakini. si umepata wa kiume? nitasimama nae au?
Bebii,
Nilishasema kule juu kuwa hakuna sharti katika ndoa linalosema msimamizi lazima awe ameoa au ameolewa...so kama upo tayari kumsaidia jamaa we m-PM tu ili ujue atakupokea vipi.