Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Mkuu Copier yako ni aina gani; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality.

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy.
 
Mkuu, IR series ya bei nafuu ni series ipi na ni kiasi gani,
Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy
 
Mkuu, IR series ya bei nafuu ni series ipi na ni kiasi gani,

IR nzuri ambayo nimeona wengi wanazo na zinafanya kazi vizuri ni IR 2016 nadhani hii kwa dar unaweza kupata used kwa laki kama tisa, mpya nadhani unaweza ukaipata kama 1.4m - 2m (ila sina uhakika) jamaa wengi huwa wanazifata kutoka Dubai na Singapore.., ila nadhani Dar ndio sehemu poa kuulizia kuliko Mikoani au kwa watu wanaokwenda Dubai...kuna kipindi alikuwepo jamaa anauza Singapore kwa 450 usd mashine moja sasa hapo ukishaweka na freight nadhani ni bora ukachukua Dar used ili uweze kuanzia katika biashara yako.

Anyway kama ni choice mashine zile za zamani canon np zilikuwa ndio nzuri zaidi yaani majembe zilikuwa zinapiga kazi kuliko hizi digital za sasa kitu kidogo kikigoma mashine inasimama..., lakini advantage yake ni kwamba unaweza kuifanya ikawa printer vilevile... kwahiyo lazima utumie hii advantage (alafu hatuna choice sababu canon ilishaaja kutengeneza np series..) hizi baada ya muda zitakwisha kabisa kwenye soko.
 
NAPENDA kutoa shukuran kwa wote ambao machango wao umenifanya nifanikiwe kufikia lengo langu la mwaka huu na sema ahsante sana na pia kwa wale ambao hawakusema kitu kwa sbb mbalimbali nami nawashukuru pia,nimefungua stationery songea karibu sana NA sokoni , stand pia karibu chuo cha sauti kinapo funguliwa.nazidi kuomba ushirikiano kwa kufanikisha biashara yangu,wan jf amani hakuna kinacho shindikana hapa dunia nawe unaweza weka nia utafanikiwa sana MUNGU AWABARIKI KWA KILA JAMBO UNALO FIKIRIA AHSANTEN SANA

Mkuu, hongera sana. Endlea kubarikiwa.
 
Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy

Mkuu hiyo imetulia sana hivyo mkuu ni ibox namba yako ili nipate hizo spare na wino.mashine yangu ir2318.
 
Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy

Mkuu niko interested pia kuhusu Printers, hivi kwa mtazamo wako Printer za Canon au Epson ni zipi zinafaa zaidi kwa mazingira ya Dar, tukizingatia uimara, upatikanaji wa spare na wino n.k?
 
Mkuu niko interested pia kuhusu Printers, hivi kwa mtazamo wako Printer za Canon au Epson ni zipi zinafaa zaidi kwa mazingira ya Dar, tukizingatia uimara, upatikanaji wa spare na wino n.k?

Nadhani hapa unaongelea printers inkjet na sio laser printers (kwa kufanyia printing za rangi n.k.) laser printer ni cheap kama unaprint black and white na kama unazo ir series basi unaweza ukaconnect copier yako ikawa printer (hivyo basi ukawa unafanya printing kwa bei ya photo copy)

Kama ni printing za rangi inkjet printers ni cheaper zaidi (running costs) issue ni kwamba catridges zake huwa ni bei mbaya sana hivyo inabidi ufanye refilling (na hapa issue sio kwamba printer ipi ni bora bali ni catridges zipi zinapatikana kwa urahisi hapo ulipo).., Printers inkjet ni bei ndogo sana kwa sasa kwahiyo hata ukichukua ya bei rahisi ikiharibika mara nyingi you dont need spares pesa yake inakuwa isharudi wewe unatupa na kuchukua mpya...

Watengeneza printers mara nyingi wanatengeneza na kuuza kwa bei ndogo ila faida yake wanapata kwenye mauzo ya catridges (just imagine kipindi fulani kulikuwa na inkjet printer ndogo kwa bei elfu 55 na ukinunua catridges mbili ya rangi na black ni elfu 55, hivyo basi ilikuwa bora kila wino ukiisha ununue printer mpya).., kwahiyo utakuta ili hizi kampuni zisife inabidi ziendelee kuuza wino ndio maana hizi kampuni huwa zinatisha watu kwamba refilling inaua printers (lakini hizi ni propaganda tu..)

Tukirudi kwenye swali lako hapa una option mbili.., kununua printer kulinganisha na upatikani wa catridges zake hapo ulipo kwa bei nzuri na wino ukiisha unakuwa unajaza (refill kwa kutumia sindano)

Option ya pili printers either canon au Epson zina kitu third parties wanaunganisha wanakiita CISS (Continuous Ink Supply System) yaani kwenye hizi printer za epson na canon wanaunganisha mirija na mitungi mpaka kwenye catridges na wewe unachofanya inakuwa unajaza mitungi nje wino ukiisha badala ya kusumbuka na sindano... (ila hapa nakushauri zaidi kama utapata canon nzuri sababu epson kama isipofanya kazi kwa muda huwa zinaziba..) na hizi CISS sina uhakika kama Dar zipo ila Nairobi kuna watu wengi sana wanauza..., ila kama wewe ni mtu wa kuprint kazi chache nakushauri chukua tu cheapest printer available ambayo catridges zake sio bei mbaya alafu utakuwa unajaza kwa sindano

Dont forget for Black and White laser printer is Cheaper (jamaa yangu ana wino wa kurefill hizi catridges zake pia...) lakini kama unayo copier ir series na unatoa copies kufanya hii kama printer is even cheaper.

Lakini for prints za rangi tumia inkjet printers
 
Mkuu VOR ninashukuru sana kwa ufafanuzi wako, nadhani Canon itanifaa zaidi kutokana na maelezo uliyonipa..

Stay Blessed Bro.
 
Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy
Kaka nashukuru sana kwa msaada wako ambao umenipatia hakika sima cha kukulipa ila mungu akubariki kwa kila jambo kaka yangu. Jamaa amenipigia na smipstis mselekezo yote na tunategemea next week kufanya biashara naye. Ahsante sana kaka.
 
kaka nashukuru sana kwa msaada wako ambao umenipatia hakika sima cha kukulipa ila mungu akubariki kwa kila jambo kaka yangu.jamaa amenipigia na smipstis mselekezo yote na tunategemea next week kufanya biashara naye .ahsante sana kaka

Poa mkuu its okay alafu kuwa macho sana na mafundi tafuta mmoja mwaminifu umtumie huyo sababu mafundi wengi huwa wanachakachua sana au anaweza akakwambia spare fulani mbovu kumbe uongo au akaja akachukua spare fulani ambayo ni nzima na kupeleka kwingine, kila mara mashine ikileta shida huwa kuna error code jaribu ku-google hiyo error code uone tatizo ni nini ndio uite fundi.

Pia kama unaweza kubahatisha kupata service/technical manual ni vema zaidi sababu vitu vingi unaweza kubadilisha mwenyewe au unapoita fundi unajua tatizo ni nini kabla (sababu hizi mashine hakuna uchawi hata hao mafundi ni kwamba wana disk yenye error codes zote na wanachofanya ikitokea shida fulani wanakwenda kwenye manual na kusoma ni nini cha kufanya) au wanatumia uzoefu tu.
 
Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy

Umuunganishe au unajiunganisha?! Hahahah!
 
Umuunganishe au unajiunganisha?! hahahah!

Duh Kaazi kweli kweli!

Juzi kuna mtu alikuwa anataka kununua Yutong Buses, nikampa namba za simu na website... (nadhani pia basi takuwa nauza haya mabasi au ile kampuni ni yangu)

Nadhani katika hili jukwaa la biashara ni kusaidiana the best possible way na kuonyeshana jinsi ya ku-maximize the profits na ku-minimize costs. hivyo basi kwa biashara yake ni kwamba mambo yanayohitajika sana (Consumables ambazo ni bei ya juu ni hayo niliyomwambia..) na kwa bei nilizompa ni almost half price kwa sehemu nyingi for the same product, nadhani utakuwa hujatenda haki kuanza kuangalia kana kwamba hili ni jukwaa la matangazo na promotion wakati ni jukwaa la biashara.., unless kama ushauri niliotoa kweli hautampa savings! au anaweza kupata a better deal somewhere else
 
@ Wanan - Nimeona mashine yako 2318 na nimepata information na software ya kuifanye iweze kuprint kutoka kwenye pc yako kwa kutumia usb nashauri ufanye download ya hizi hii software na hizi user manuals zitakusaidia

Printer Driver ya kuweka kwenye mashine yako ili uweze kuprint kutumia USB
Canon UFR II/ UFRII LT Printer Driver v20.60

User Manual zinaelezea Capability ya mashine yako na jinsi ya kuitumia (kumbuka hii si technical manual kwahiyo haionyeshi error codes)
imageRUNNER 2318

Nashauri pia ukipata technical manual hii itakusaidia mashine ikipata shida

Ukifanya connection hii ikawa printer utakuwa umepunguza running costs za laser printer sababu cost ya photocopy ndio itakuwa ya print outs

Kumbuka Kufanya hii iwe scanner au uweze kuiconnect na computer nyingi kwenye network au kuitumia kama remote scanner (unahitaji network card adapter kwenye copier yako) na hii mara nyingi haiji standard na hii mashine mpaka ufanye upgrade au wakati unanunua mashine uwaambie unataka hii option
 
Habari wana JF,

Poleni na hongereni kwa msaada unaotupatia ili tuweze kuondokana na umaskini, mi kijana wa kitanzania nipo Mwanza, nahitaji kuanza biashara ya stationary. Nina kiwanja ila nina hati ya kimala sababu hakijapimwa. Then nahijati kwenda kuchukua mkopo benki. Noamba kuuliza naweza pata mkopo kwa kutumia hiyo hati ya kimila? Na mtaji wa kuanza biashara hii unaweza kuwa Tshs ngapi kwa kuweka printer moja, scanner, photocopy mashine, vifaa mbalimbali vya shule, na kuwa wakala wa max malipo, pia nishaurini ninaweza fanyaje biashara kuwa bora zaidi, mfano nimepanga kuchukua tenda za kuchapa mitihani shule mbalimbali kwa discount. Asante sana ndugu zangu. Ukiniuliza swali nisipo jibu sasa nipo ofsini.
 
fered mbataa,

Mkuu kwanza nikupongeze kwa kutobweteka na kazi za kuajiliwa pekee. "You are on the right track" kuendelea kufanya kazi huku ukitafutafuta kipato cha nje.

Hati ya kimila kwenye baadhi ya benki inafanya kazi lakini hakikisha kijiji husika kimeshajiliwa.
Kuhusu kiasi cha kuanzisha biashara hii, sina data lakini jaribu kupita pita kwenye maduka yanayouza mashine kama hizi upate bei. Pia usisahau kujaribu kuomba ushauri kwa wazoefu wa biashara hii ili wakwambie kipi kinafaa - e.g Printer gani nzuri, za kudumu lakini za bei poa. Wapi kuna mafundi wazuri wa kutengeneza mashine zikisumbua, etc.

Mbali na hilo nikuongezee ushauri wa bure tu:

1. Hakikisha hii biashara katika eneo unapoiweka kuna mzunguko mzuri zaidi wa biashara ya aina hii mfano karibu au ndani ya vyuo ni sehemu nzuri zaidi kuliko maeneo ya viwanda.

2. Tunza hesabu zako vema utakapokuwa umeanzisha biashara yako. Kila senti inahesabika. e.g kuuza karatasi moja au kutoa copy moja sh. 50 ni kidogo lakini ni kubwa pia maana (ndogo) x (idadi kubwa) x (muda) = Utajiri. Hivyo zingatia na kuheshimu kila mteja anayepiga hodi kwako, kila akiingia amini kuwa ni biashara mpya anakuongezea.

3. Zunguka (unguza sori) ukijalibu kunadi biashara yako na kueleza wazi kwa marafiki, mashule, maofisi, etc ili biashara yako ijulikane.

Kumbuka: Wakati kuna watu wengi sana wanatafuta mahali pa kuuza huduma na bidhaa zao, wapo watu wengi zaidi wasiojua pa kupata huduma au bidhaa hizo

Above all: Mtegemee Mungu katika kila kitu, inalipa.
 
Hati za kimira zina kataliwa na Banks nyingi sana..na serikali inafanya juudi kubwa kuakikisha zinatambulika na kuwawezesha watu kupata mikopo.

Sijui unafanya kazi wapi na vip ukitumia kazi yako kama security. Nadhani umaweza ukapata pesa za kutosha kuanzisha biashara ya stationary.

Kuwa na stationary ni moja ya ndoto zangu..na kwa kuwa ili at least ikamilike na iwe na ubora itakugarimu kati ya milion 8 hadi 10.

Lakini kwa kuanzia milion 2 hadi 3 tu zinaweza lfanya kuwa ya mil 10 ndani ya miaka 2.

Photocopy machine na vifaa vya maofisini na mashuleni yafaa kuanzia ndugu.
 
Back
Top Bottom