VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Mkuu Copier yako ni aina gani; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality.
Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.
By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy.