Wana JF, ahsanteni sana; nimefanikiwa kufungua stationery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF, ahsanteni sana; nimefanikiwa kufungua stationery

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wanan, Oct 6, 2011.

 1. w

  wanan Senior Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  NAPENDA kutoa shukuran kwa wote ambao machango wao umenifanya nifanikiwe kufikia lengo langu la mwaka huu na sema ahsante sana na pia kwa wale ambao hawakusema kitu kwa sbb mbalimbali nami nawashukuru pia,nimefungua stationery songea karibu sana NA sokoni , stand pia karibu chuo cha sauti kinapo funguliwa.nazidi kuomba ushirikiano kwa kufanikisha biashara yangu,wan jf amani hakuna kinacho shindikana hapa dunia nawe unaweza weka nia utafanikiwa sana MUNGU AWABARIKI KWA KILA JAMBO UNALO FIKIRIA AHSANTEN SANA
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  asante kushukuru.jmosi ntakuja hapo makambi.nikifika ntakuja kutoa photocopy.bei ni shilling ngapi?.mia
   
 3. w

  wanan Senior Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Bei 50/- tu
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaah! Mbona bei rahisi hvyo? Au inategemea mahal na mahal? Huku kwetu sh 200/- karatasi ya A4.
   
 5. w

  wanan Senior Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kwa mm inanilipa.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nitakuja kutoa copy madesa yangu. Hongera sana.
   
 7. T

  The Priest JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mmh wapi huko Sweetlady,50/= ni standard,hongera umepga hatua,si wengne ngoja 2komae na Jf hapa kuondoa upepo kichwani
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna watu humu wanachukua points wanafanyia kazi wanatoka kimaisha, ila kuna wengine hawachangamki wanafanya masihara, kuna aidia niliichukua humu naifanyia kazia baada ya miezi miwili nitaleta report.

  mpendwa hongera sana
   
 9. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu hongera sana man. Just make sure your business inafika it's 1[SUP]st[/SUP] birthday and so on…
  A business, grows in cycles. It involves conceiving an idea, resource mobilization, start, growth and death. In short, a business is an invisible object, with the customer at its centre. Poor or rich, an enterprise needs to attract customer's attention and, above all, their money. Just make sure you go with fast moving items (depending on demand) in order to keep your cash flow. Remember in business cash is power. Na mwisho watch your financial behavior.
   
 10. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hongera Sanaumedokeza karibu na Sauti wanafungua chuo songea.naomba kujua Wamejenga majengo mapya au wamekodisha?naomba uniambie jina la mtaa,au street iliyokaribu na Sauti ,nataka niangalie via Satalite map.Nimefika Songea 1996 mara ya mwisho.wanapokuja wanafunzi Chuo huwa kuna opportunities nyingine nyingi.
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu Copier yako ni aina gani..; kama ni canon mpya IR Series, niambie takuunganishia kuna mtu anazo toner grade A unafanya refilling (200grams) unatoa copies around 4,500 anauza kwenye (15,000/=) pia kwa IR kinachoharibika sana ni thermal paper na hizi anazo kwenye (45,000/=) good quality...

  Am sure kwa kununua hivi vitu kwa bei nzuri hata hio bei yako ya tshs 50 italipa tu, pia anazo na toner za HP laser printer (100grams) za kurefill as well.

  By the way hii biashara its all about location kama wanafunzi ni wengi utapiga kazi mpaka mashine iwe inatoka jasho, hivyo basi bora ukiwa nazo kama mbili tena kama ni IR Series unaweza ukaiconnect ikawa kama printer na kwa kufanya hivyo unaweza ukawa unawafanyia watu printing kama kazi ipo kwenye flash kwa Tshs 250/= tu sababu cost ya printing ni sawa na ya photocopy
   
 12. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu, IR series ya bei nafuu ni series ipi na ni kiasi gani,
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  IR nzuri ambayo nimeona wengi wanazo na zinafanya kazi vizuri ni IR 2016 nadhani hii kwa dar unaweza kupata used kwa laki kama tisa...,mpya nadhani unaweza ukaipata kama 1.4m - 2m (ila sina uhakika...) jamaa wengi huwa wanazifata kutoka Dubai na Singapore.., ila nadhani Dar ndio sehemu poa kuulizia kuliko Mikoani au kwa watu wanaokwenda Dubai...kuna kipindi alikuwepo jamaa anauza Singapore kwa 450 usd mashine moja sasa hapo ukishaweka na freight nadhani ni bora ukachukua Dar used ili uweze kuanzia katika biashara yako..

  Anyway kama ni choice mashine zile za zamani canon np zilikuwa ndio nzuri zaidi yaani majembe zilikuwa zinapiga kazi kuliko hizi digital za sasa kitu kidogo kikigoma mashine inasimama..., lakini advantage yake ni kwamba unaweza kuifanya ikawa printer vilevile... kwahiyo lazima utumie hii advantage (alafu hatuna choice sababu canon ilishaaja kutengeneza np series..) hizi baada ya muda zitakwisha kabisa kwenye soko
   
 14. B

  Bobo Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu,hongera sana. Endlea kubarikiwa.
   
 15. w

  wanan Senior Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkuu hiyo imetulia sana hivyo mkuu ni ibox namba yako ili nipate hizo spare na wino.mashine yangu ir2318
   
 16. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  mkuu faida ina range kama sh. ngap hv
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu niko interested pia kuhusu Printers, hivi kwa mtazamo wako Printer za Canon au Epson ni zipi zinafaa zaidi kwa mazingira ya Dar, tukizingatia uimara, upatikanaji wa spare na wino n.k?
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nadhani hapa unaongelea printers inkjet na sio laser printers (kwa kufanyia printing za rangi n.k.) laser printer ni cheap kama unaprint black and white na kama unazo ir series basi unaweza ukaconnect copier yako ikawa printer (hivyo basi ukawa unafanya printing kwa bei ya photo copy)

  Kama ni printing za rangi inkjet printers ni cheaper zaidi (running costs) issue ni kwamba catridges zake huwa ni bei mbaya sana hivyo inabidi ufanye refilling (na hapa issue sio kwamba printer ipi ni bora bali ni catridges zipi zinapatikana kwa urahisi hapo ulipo).., Printers inkjet ni bei ndogo sana kwa sasa kwahiyo hata ukichukua ya bei rahisi ikiharibika mara nyingi you dont need spares pesa yake inakuwa isharudi wewe unatupa na kuchukua mpya...

  Watengeneza printers mara nyingi wanatengeneza na kuuza kwa bei ndogo ila faida yake wanapata kwenye mauzo ya catridges (just imagine kipindi fulani kulikuwa na inkjet printer ndogo kwa bei elfu 55 na ukinunua catridges mbili ya rangi na black ni elfu 55, hivyo basi ilikuwa bora kila wino ukiisha ununue printer mpya).., kwahiyo utakuta ili hizi kampuni zisife inabidi ziendelee kuuza wino ndio maana hizi kampuni huwa zinatisha watu kwamba refilling inaua printers (lakini hizi ni propaganda tu..)

  Tukirudi kwenye swali lako hapa una option mbili.., kununua printer kulinganisha na upatikani wa catridges zake hapo ulipo kwa bei nzuri na wino ukiisha unakuwa unajaza (refill kwa kutumia sindano)...,

  Option ya pili printers either canon au Epson zina kitu third parties wanaunganisha wanakiita CISS (Continuous Ink Supply System) yaani kwenye hizi printer za epson na canon wanaunganisha mirija na mitungi mpaka kwenye catridges na wewe unachofanya inakuwa unajaza mitungi nje wino ukiisha badala ya kusumbuka na sindano... (ila hapa nakushauri zaidi kama utapata canon nzuri sababu epson kama isipofanya kazi kwa muda huwa zinaziba..) na hizi CISS sina uhakika kama Dar zipo ila Nairobi kuna watu wengi sana wanauza..., ila kama wewe ni mtu wa kuprint kazi chache nakushauri chukua tu cheapest printer available ambayo catridges zake sio bei mbaya alafu utakuwa unajaza kwa sindano

  Dont forget for Black and White laser printer is Cheaper (jamaa yangu ana wino wa kurefill hizi catridges zake pia...) lakini kama unayo copier ir series na unatoa copies kufanya hii kama printer is even cheaper..

  Lakini for prints za rangi tumia inkjet printers
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu VOR ninashukuru sana kwa ufafanuzi wako, nadhani Canon itanifaa zaidi kutokana na maelezo uliyonipa..

  Stay Blessed Bro.
   
 20. w

  wanan Senior Member

  #20
  Oct 11, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kaka nashukuru sana kwa msaada wako ambao umenipatia hakika sima cha kukulipa ila mungu akubariki kwa kila jambo kaka yangu.jamaa amenipigia na smipstis mselekezo yote na tunategemea next week kufanya biashara naye .ahsante sana kaka
   
Loading...