Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

Esther, sasa uwe makini, watanzania wamekufahamu, wanakuhitaji uwe kiongozi wao, tia akili sasa, kama una mume au bwana, basi ajiheshimu, kama wewe ni mlevi acha sasa utakufa siku si zako... wewe kwa sasa ni public figure, utasema nakutisha..., sasa utatongozwa na vigogo... be carefull, sasa uwe mcha mungu zaidi, mdogo wangu yawezekana ukaja kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais 2020, ghafla nyota yako imeng'ara ktk medan ya uongozi, uwe selective unachokisema, epuka invitation zisizo na tija kwa chama

when a great thinker give a piece of advice .... I have no more to add

I salute you mkuu
 
Kuna tofauti gani kiitikadi kati ya CDM na CCM?
Uonavyo wewe tofauti zipo kiutendaji zaidi au kiitikadi zaidi? ... kiutendaji namaanisha kuanzia sera mpaka ushughulikiaji wa sera.
Unafikiri, CDM ikipewa ridhaa na watanzania, itashughulikiaje matatizo hayo (ya kisera na uytendaji).

tofauti ziko nyingi sana.. mfano CDM inaamini katika Serikali Tatu ila CCM inaongelea Serikali Mbili. CDM tunaamini katika Utawala wa Majimbo BUT CCM believes in the Central Government. CDM feels that DC and RC positions is wastage of tax payers money but CCM takes it as a way of returning Favours. CDM believes in Soko Huria BUT CCM thinks Soko huria is Soko Holela.

Tanzania haina tatizo la Sera kabisa, ni Uongozi walioshindwa kupambana na rushwa na kuwajibisha waliokosea, uongozi wa kupeana, mikataba mibovu na mengine yanayofanana na hayo. CDM ina uongozi thabiti na utakaoweza kupambana na hayo.
 
Kama nilivyosema juzi, uoga haujawahi kumsaidia mtu kitu, kuthubutu peke yake...tunajinyima fursa ya mabadiliko wenyewe..after all, what do we have to lose by trying?? Tunaelekea kuwaondoa hawa walio-STICK like glue na Ku-monopolize nchi yetu,kuifanya kama taasisi yao. It needs you and me!! Dare and bear.
Umeingia CDM wakati muafaka kuelekea katika mageuz ya kimfumo na utawala nchini huku Uongoz wa BAWACHA ukishindwa kuwaunganisha wanawake unafikiria nn kuhusiana na hili naamini wwe ndio mrithi wa Rejia Mtema ndan ya JF
 
Kama nilivyosema juzi, uoga haujawahi kumsaidia mtu kitu, kuthubutu peke yake...tunajinyima fursa ya mabadiliko wenyewe..after all, what do we have to lose by trying?? Tunaelekea kuwaondoa hawa walio-STICK like glue na Ku-monopolize nchi yetu,kuifanya kama taasisi yao. It needs you and me!! Dare and bear.

thats positive thinking,natamani ningekuwa karibu na yule baba yako mkubwa nimepelekee ujumbe huu ili asithubutu kugombea 2015
 
Esther Wasira,

Natumaini unamfahamu mtu anaitwa Kitila Mkumbo wa UDSM. Huyu mwombe ushauri kila upatapo fursa. Jitahidi pia kupata hekima za wazee kama kina Dr.W.Slaa, Prof. Baregu, Prof Safari na hata Freeman A. Mbowe

Unaoona nimewa-tag ni members wa JF tayari kwa majina yao. Kuna challenges za kutumia majina halisi, lakini tumia busara katika kujibu hoja zetu. Si kila hoja lazima ijibiwe, hata kimya wakati mwingine ni jibu.

Karibu JamiiForums
Mkuu n00g mbona hujamtaja Zitto Kabwe, humuamini! unaona kama atamuharibu Dada Yetu Kipenzi?
 
KARIBU ESTHER, NILIKUKUBALI SANA KT MDAHALO LAST WK, NAOMBA WEWE KM MWANAMKE UTWAMBIE UTAHUSAIDIAJE UMOJA WA WANAWAKE WA CHADEMA aka BAWACHA AMBAO KWA DHATI YANGU NAUONA UMEDOROLA, NA KM JUMUIYA HAUCHANGII PAKUBWA NA HATUPATI MCHANGO WAO KT VUGUVUGU LA MABADILIKO M4C NA HASA UKIZINGATIA WANAWAKE NI MOJA YA WACHANGIA USHIND WA MAGAMBA aka CCM, JIBU PLZ

Asante sana. Nitawashauri wanawake wenzangu tujitume na kuwa sehemu kubwa ya mabadiliko na pia kuwashauri BAWACHA wazidi kuwa engine ya uhamasishaji wa wanawake kuwa sehemu kubwa ya kuleta ukombozi wa pili wa watanzania..
 
Esther kama hujali tunaomba age yako?
 
Karibu sana Kamanda. Vipi ukichukua jukumu la marehemu Rejia? I mean kuwa active member kwa kutupatia updates za matukio ndani ya chama kama alivyokuwa marehemu Rejia? Ni pendekezo tu.

Asante.. Regia alikuwa ni mbunge na pia ni mjumbe wa vikao vya chama, hivyo alikuwa na nafasi nzuri sana kuleta updates za matukio ndani ya chama, lakini given the opportunity, i shall not hesitate to do the same.
 
644750_468155179873220_591907977_n.jpg
 
Sina pingamizi lolote, endapo Chama changu Kitanituma.

naomba kuwa tofauti na wenzangu wa chadema hapa hapa, mimi nakuona kama mchumia tumbo kama wengine zaidi ya kubebwa na hilo jina wasirra. Target yako kubwa ni ubunge kama vijana wengine walio na uchu wa madaraka ktk nchi yetu, mimi sidhani kama wewe ni smart sana kuliko wengine wanajiunga na chama kila siku ktk pembe za nchi yetu, lakini jina limekutoa na kuwapofusha wananchadema wenzangu wanakuona jembe.
Ktk harakati za kulikomboa taifa letu hatuhitaji vijana wenye uchu wa madaraka maana wakiyakosa wanapunguza kasi ama wanaona wameonewa, mimi nakushauri kama kweli umejiunga na chadema jikite ktk harakati za kuelimisha vijana wajue haki zao za msingi.
Mimi nawashangaa wanajf wanaokumwagia sifa kedekede na kukuvimbisha kichwa kwa kuquote maneno ya nyerere na kuonekana na wa maana sana, siasa za ushabiki namna hii zikiingia chadema pia zitakidhoofisha chama na wapinzani watatumia udhaifu huu kutushambulia.
Nakushauri usivimbe kichwa kwa maneno ya watu humu jf kwani una mengi sana ya kuprove kama kweli unataka uje kuwa kiongozi, zaidi ya hayo mimi nakuona unakurupuka tu bila kujua mbele yako kuna nini!
 
Habari Wana Jamvi,

Awali ya yote niombe radhi kwa kutofika mapema kuchangia thread hii, nilitumwa na mwajiri wangu nje ya eneo la kazi, sikuwa nimeona hii.

Asanteni sana kwa kunikaribisha kwa namna ya kipekee; I am truly humbled. Nimekuwa mfuatiliaji wa pembeni kwa muda mrefu lakini sasa hivi nipo humu miguu yote miwili.

Binafsi huwa nafurahishwa na uhuru wa kuchangia mawazo uliopo humu ndani, na nadhani kama kuna kiongozi anayetaka kujua anatakiwa abadilishe nini na wapi, awe anapita humu na anazingatia yote ya msingi yanayoongelewa na jamii yake. This is "Jamii Forums".

Ninashukuru kwa yote mema na mazuri yaliyosemwa juu yangu, maana yananipa nguvu za kusonga mbele, lakini pia nashukuru sana kwa yale ambayo hayaonekani kuwa mazuri au mema kwangu maana hayo hasa ndio yanayonijenga zaidi.

Thank you..

Dada Ester, i love you so much. Embu tumegee historia yako na malengo yako ktk siasa. Ila big up umechagua fungu jema .

Ushauri: tumia media kwa nguvu zote na karibu jamvini
 
Swali kwa Easter: Nini kilikusukuma kufuata itikadi tofauti ya siasa ukizingatia chama tawala kimekulea akiwemo mzazi wako Mheshimiwa baba yako Wasira?
 
tofauti ziko nyingi sana.. mfano CDM inaamini katika Serikali Tatu ila CCM inaongelea Serikali Mbili. CDM tunaamini katika Utawala wa Majimbo BUT CCM believes in the Central Government. CDM feels that DC and RC positions is wastage of tax payers money but CCM takes it as a way of returning Favours. CDM believes in Soko Huria BUT CCM thinks Soko huria is Soko Holela.

Tanzania haina tatizo la Sera kabisa, ni Uongozi walioshindwa kupambana na rushwa na kuwajibisha waliokosea, uongozi wa kupeana, mikataba mibovu na mengine yanayofanana na hayo. CDM ina uongozi thabiti na utakaoweza kupambana na hayo.
Kwa hiyo unakubaliana na sera za CCM zilizopo? Ila uongozi ndiyo taizo siyo? .... nimekuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom