Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

Hivi ni kwanini hatumii middle name? anatumia first and surname! ama ndio gear ya kutokea...
 
Regia Mtema re- born !!
Uje mara twende Bunda tukamalize mchezo wa gambaz pale!
 
Habari Wana Jamvi..
Awali ya yote niombe radhi kwa kutofika mapema kuchangia thread hii, nilitumwa na mwajiri wangu nje ya eneo la kazi,sikuwa nimeona hii.
Asanteni sana kwa kunikaribisha kwa namna ya kipekee;i am truly humbled. Nimekuwa mfuatiliaji wa pembeni kwa muda mrefu lakini sasa hivi nipo humu miguu yote miwili. Binafsi huwa nafurahishwa na uhuru wa kuchangia mawazo uliopo humu ndani, na nadhani kama kuna kiongozi anayetaka kujua anatakiwa abadilishe nini na wapi, awe anapita humu na anazingatia yote ya msingi yanayoongelewa na jamii yake. This is "Jamii Forums". Ninashukuru kwa yote mema na mazuri yaliyosemwa juu yangu, maana yananipa nguvu za kusonga mbele, lakini pia nashukuru sana kwa yale ambayo hayaonekani kuwa mazuri au mema kwangu maana hayo hasa ndio yanayonijenga zaidi. Thank you..

Naona uko slow sana kujibu, ngoja ujifunze kwanza namna ya kuitumia JF maana huenda inakupa tabu kidogo. Lakini Pokea LIKE yangu ya kwanza kabisa tangu ujiunge JF kamanda
 
mkuu swali nililomuuliza ni la msingi,kama alitarajia kuja kuwa mwanasiasa kwa vyovyote angeijua JF kwa kuwa ndio inanoa wanasiasa wa tanzania

Si amesema alikuwa anapita hapa kitambo....haitoshi hiyo kuijuwa JF?

Nimekuwa mfuatiliaji wa pembeni kwa muda mrefu lakini sasa hivi nipo humu miguu yote miwili.

 
Ester Mambo? una maoni gani kwa Watanzania bara wanaonyanyaswa kule Zanzibar, je Chadema itaweza kumpeleka japo balozi ili wapate kimbilio? ndio hope iliobaki CHADEMA OR NOTHING. lete mkakati wapate hope. asante dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom