Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

ni ujinga kitaka msimamo kwa watu usiowajua.

utalazimisha hata gwajima kama yumo humu na wafuasi wake waweke msimamo wa kujipinga.

unalalamikia kitu ambacho sio sahihi.

Prof Matunduizi
 
Wakuu unajua hii forum bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. Forum inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
Usihofu mku jf hatujalala kuna mtaalam wa video clips tumemuagizia kutoka UK anakuja kuifanyia uchunguzi kisha atatoa majibu
 
Ndio mkuu
Okay in short huyo jamaa gwajima sioni uhusika wake na lile tukio, angalia hapa huu mustache 👇
20190510_113013.jpg
 
Mi Nimechanganyikiwa mkuu mwanzo nilikuwa njia panda..ila watu wakaja nikaambiwa ni yeye nikashawishika, ila kuna watu wakaja na hoja nzito kuwa sio yeye nikawaamini, nilipowaamini tena watu wengine tofauti wakaja na hoja nzito zaidi kuwa ni yeye kabisa, wakaja wengine tena wakaniamisha sio yeye tena, na wengine, na wengine na wengine...Dah, kichwa kinaniuma
asa umesimama wapi mkuuu
 
Wakuu unajua hii forum bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. Forum inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
Ni yeye
 
Nilivyoona kichwa cha uzi nikajua tumchangie zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa Max, inamaana katika mambo yoote yanayoendelea au tetesi zinazovuma kuhusu siasa, watu maarufu na matukio mengine, hili pekee ndio umeona lituunganishe JF tuwe na msimamo mmoja?

Acha watu wabaki na mitazamo yao na fikra huru jinsi wanavyochambua na kutazama mambo mkuu.
 
Ndio kuna mambo mengi yanaishia juu kwa juu, ila Hili limetikisa sana nchi..lazima conclusion ipatikane
 
kwani JF ni Mahakama au ni chama cha Mahakimu? mpaka iwe na msimamo wa kuhukumu huku ni mawazo huru anayesema ndiye au siye au asiyeelewa wote ni sawa............
 
Back
Top Bottom