Wana IT, Kuna kazi gani uliyowahi kuifanya vizuri, na hadi leo unajikubali?

May 17, 2016
11
14
Kwa mimi ni kuweza kuweka hewani app ya kijamii isiyo ya kuingiza faida ya kuwezesha watu kujitolea kuchangia damu. Vipi wewe???
 
Kudumbukiza betrii za Panasonic zilikwisha tumika kwenye tundu la choo kwa masaa mawili nilivyotoa nikaweka kwenye redio ya National kitu ikapiga mziki mpaka majogoo
 
nilifanikiwa kuwasha taa kwa kutumia meseji ya sim, na nikaopoa toto la udbs, kitambo icho
 
ni my first website hapo ndo kwanza nimejifunza html na php yan ilikuwa complete system nikalipwa usd 280 ilikuwa pesa nying kwangu had leo kila siku nakumbuka
 
Back
Top Bottom