Premier Mimata
Member
- May 17, 2016
- 11
- 14
Kwa mimi ni kuweza kuweka hewani app ya kijamii isiyo ya kuingiza faida ya kuwezesha watu kujitolea kuchangia damu. Vipi wewe???
hihihihhihi!Kudumbukiza betrii za Panasonic zilikwisha tumika kwenye tundu la choo kwa masaa mawili nilivyotoa nikaweka kwenye redio ya National kitu ikapiga mziki mpaka majogoo
HahahahaKudumbukiza betrii za Panasonic zilikwisha tumika kwenye tundu la choo kwa masaa mawili nilivyotoa nikaweka kwenye redio ya National kitu ikapiga mziki mpaka majogoo