Elections 2010 Wana Igunga jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga kura

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,012
10,653
Nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo Tume ya Uchaguzi NEC wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara, na hasa baada ya Uchaguzi Mkuu 2010.

Kuna watu wametimiza miaka 18 sasa, wapo waliohamia na wale kwa sababu mbalimbali hawakujiandikisha. Sasa kwa wale waliomo daftarini na kwa hamasa ya watu wanavyojitokeza kwenye mikutano, siku ya tarehe 02/10/2011 waje wawajibu kwa vitendo hao NEC na wanaowaagiza kuifinyanga demokrasia.

JITOKEZENI...................
 
Huu unapaswa kuwa mkakati wa chadema kuanzia leo mpaka jmosi. Wahamasishe watu wajitokeze. Kujitokeza kwa watu wengi ndiyo ushindi wa chadema
 
Nikweli wajitokeze kwa wingi kukipigia kura C.C.M na dr dalaly kafumu.wasichague makomandoo yaani magwanda.
 
ssm kwa sasa imekufa angalia wanavyo tumia nguvu nyingi kwenye kampeni kwa mfano kugawa nguo za chama na kutoa elfu kumi kwa kila anaye hudhuria mikutano, hata Mangula aliye sahaulika miaka mingi kaitwa kuokoa jahazi, pamoja na mh Mkapa wapiga kula wa igunga chagueni ssm muone moto wake tulilishwa limbwata na ssm sasa limbwata lao lime expire
 
mara nyingi wanaojiandikisha ni wengi lakini hawajitokezi kupiga kura sijui sababu kubwa ni kukata tamaa ama nini,lakini nawashauri watumie haki yao kikatiba
 
Huu unapaswa kuwa mkakati wa chadema kuanzia leo mpaka jmosi. Wahamasishe watu wajitokeze. Kujitokeza kwa watu wengi ndiyo ushindi wa chadema

Siyo CDM pekee, hata CCM, CUF ambavyo vinawashabiki wengi ili kuongeza mvutano na demokrasia ya ukweli kisha tusubiri madudu ya tume na mtandao kuwa hacked na mamafia!
 
wana igunga pigieni chadema kura, achana kabisa na ccm. kama mnataka kuona hali yenu ngumu ya maisha mliyonayo kwa muda wa miaka 50 ikiendelea pigia ccm, takeni mabadiliko, kwanini nyie muwe ni watu wakubeba watu ambao hawana faida kwenu kila mwaka?
 
Hili ni jambo la msingi sana kwa wenzetu wa Igunga. Kutojitokeza kwa wingi wakati wa mikutano ya campaign haisaidii. Tuwaombe sana wakazi wa Igunga wajitokeze sana siku ya kupiga kura, Watumie haki yao ya msingi vizuri.
 
nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo tume ya uchaguzi nec wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara, na hasa baada ya uchaguzi mkuu 2010.

Kuna watu wametimiza miaka 18 sasa, wapo waliohamia na wale kwa sababu mbalimbali hawakujiandikisha. Sasa kwa wale waliomo daftarini na kwa hamasa ya watu wanavyojitokeza kwenye mikutano, siku ya tarehe 02/10/2011 waje wawajibu kwa vitendo hao nec na wanaowaagiza kuifinyanga demokrasia.

Jitokezeni...................

wanaigunga jitokezeni kwa wingi kumpigia kura ccm ,usipoteze kura yako
 
I always ask my self why this english proverbs came to be found in one series, must be a meaning behind it.Please great thinkers which one among these fits for WanaIgunga or CCM or CDM as we approch to the end of the road.

1: Follow the river and you will find tthe the sea
2: Fools build houses and wise men buy them
3: Forewarned is forearmed
4: Fortune favours the brave
5: Fortune favours fools
6: Genius is a capacity for taking trouble
7: Give a dog a bad name and hang him
8: Give a fool rope enough and he will hang himself
9: Give every one his due
10: Give him an inch and he'll take ell.
11: Give the devil his due
12: God helps those who help themselves
13: God never shuts one door but he opens another
14: Good beginnings make good endings
15: Good to begin well,better to end well.
16: Good wine needs no bush
17: Grasp all losa all
18: Gratitude is the least of virtues,ingratitude the worst of vices
19: Great haste makes great waste
20: Great minds think alike
21: Great Profit great risks.
23: Great talkers are little doers

lets share it
 
I always ask my self why this english proverbs came to be found in one series, must be a meaning behind it.Please great thinkers which one among these fits for WanaIgunga or CCM or CDM as we approch to the end of the road.

1: Follow the river and you will find tthe the sea
2: Fools build houses and wise men buy them
3: Forewarned is forearmed
4: Fortune favours the brave
5: Fortune favours fools
6: Genius is a capacity for taking trouble
7: Give a dog a bad name and hang him
8: Give a fool rope enough and he will hang himself
9: Give every one his due
10: Give him an inch and he'll take ell.
11: Give the devil his due
12: God helps those who help themselves
13: God never shuts one door but he opens another
14: Good beginnings make good endings
15: Good to begin well,better to end well.
16: Good wine needs no bush
17: Grasp all losa all
18: Gratitude is the least of virtues,ingratitude the worst of vices
19: Great haste makes great waste
20: Great minds think alike
21: Great Profit great risks.
23: Great talkers are little doers

lets share it

gibberish
 
Back
Top Bottom