Wana Historia: Je Tanganyika iliwahi kuwa koloni la muingereza?

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Inasemekana kuwa wakoloni hasa kwa Tanganyika walikuwa ni wajerumani tu...
 
Hivi kumbe humu JF kuna watoto wadogo, eh? Au wewe ni miongoni mwa waliosoma Malasia au Marekani toka chekechea mpaka ngumbaru?
 
After ww2,all German colonies,ziliwekwa chin ya trusteship teritory na TZ kukabidhiwa Kwa mwingeleza.chin ya legue of nations.
 
After ww2,all German colonies,ziliwekwa chin ya trusteship teritory na TZ kukabidhiwa Kwa mwingeleza.chin ya legue of nations.

Tanzania kama jina lilizaliwa tarehe 28/10/1964...kabla ya hapo ilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kabla ya Muungano lilitumika jina Tanganyika.
 
Jitahidi sana kusoma historia ya nchi yako,ili usilete maswali ya kukuumbua humu JF,please bring constructive ideas kama ni shule ungkuwa umepata big O
 
Jitahidi sana kusoma historia ya nchi yako,ili usilete maswali ya kukuumbua humu JF,please bring constructive ideas kama ni shule ungkuwa umepata big O

Yaani niogope kuuliza kwa kuogopa kuumbuka? r u serious?

kumbuka mficha ugonjwa kifo humuumbua na kuuliza sio ujinga.

Thank 4 ur constructive answer anyway, Mr Genius.
 
Ina maana hiyo trusteeship territory ni sawa na kuwa koloni au ?
Trusteeship sio colony. Uingereza ilipewa trusteeship ya Tanganyika kama waangalizi tu mpaka wakati ambapo wangeweza kujitawala wenyewe. Tofauti ni kuwa Kenya ilikuwa colony ya Waingereza. Ndio maana waliwekeza sana wakijua kuwa hawataondoka. Waingereza hawakuwekeza Tanganyika kwa vile walijua kuwa ni lazima siku moja wataondoka.
 
Back
Top Bottom