Wana FJ naomba mnipokee !

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Nimekuwa nikisoma JF kwa muda sasa na kweli nimejua mengi sana na leo nimeona niungane nanyi na kuwa miongoni mwa wanajamii! Bila kinyongo najua nitakaribishwa!

Nangoja kukaribishwa hapa !
 
ZIPUWAWA hii imenifurahisha, unajua majina mengi yanakuwa na maana fulani. hebu tudokeze kidogo la kwako. Hata hivyo karibu sana mjengoni.
 
Mpasuajipu hili jina lina maana kubwa sana kwa sasa nashukuru kwa kukaribishwa najua siku nyingine nitakueleza maana yake na hakika utafurahi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom