Wana falsafa na jina la daktari

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!!

Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili.

Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine ni dakta au litafutwejina jingine. tuwaachie matabibu jinalao na heshima yao wanayo stahili.
 
nadhani imeeleweka...
Screenshot_20180916-212254.jpg
 
Ukifikia degree ya tatu katika fani ileile hata kama ni mapishi wewe ni daktari katika hiyo fani
 
Back
Top Bottom