Wana-CUF Zanzibar waanza kujipanga kukimbilia Mombasa kama wakimbizi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,843
Hii ni kutokana na kamatakamata inayoendelea huko Pemba ambapo wanaokamatwa wananyimwa hata dhamana.

Kwa mujibu wa Kiongozi mmoja wa CUF, baadhi ya wana-CUF hivi sasa wamekimbilia maporini kutokana na kamatakamata hiyo na uwepo wa askari mitaani.

Kuhusu uwepo wa askari hao,waziri wa nchi ametetea uwepo wa askari hao kwa kigezo kuwa askari hao wanaonekana mitaani wako kwenye mafunzo ya kawaida.

Chanzo:Channel 10

Majibu ya huyu waziri kuayaamini inahitaji kujitoa ufahamu!
 
Back
Top Bottom